Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

Mkuu weka habari straight kabla ya kupost. Ndo maana hata heading ina tatizo.

Kuna tofauti kati ya "kusitisha leseni" vs "kusitisha utoaji wa leseni"

Kipi ni kipi?

Kusitisha leseni ina maana bureau de change zote zitafungwa.

Kusitisha utoaji leseni, ina maana zile zinazo omba leseni mpya ama pengine ku renew, ndizo zitaathirika.
Soma habari mwenyewe usipende kutafuniwa kila kitu kama mtoto...
 
Jeshi, polisi, magereza, TISS, Mgambo, Uhamiaji na Zimamoto, vyote ni vyombo vya dola kwa maslahi mapana ya nchi. Polisi wanahongeka kiurahisi na kuvujisha siri, Vita vya kiuchumi vinahitaji askari wazalendo na wazalendo wetu ndio hao JWTZ, iwe Tanzanite, korosho au dola, wahahitajika sana
Ila maisha yao daaa!!! Hadi huruma
 
Arusha askari polisi ni wachache mbona trafiki barabarani kila baada ya hatua mia tatu au 4 unawakuta trafiki na sio 3 au 4 ni kundi basi tupewe ajira jeshi la polis
Yangekuwa maandamano ndo ungejua kama ni wachache au la!
 
Jeshi, polisi, magereza, TISS, Mgambo, Uhamiaji na Zimamoto, vyote ni vyombo vya dola kwa maslahi mapana ya nchi. Polisi wanahongeka kiurahisi na kuvujisha siri, Vita vya kiuchumi vinahitaji askari wazalendo na wazalendo wetu ndio hao JWTZ, iwe Tanzanite, korosho au dola, wahahitajika sana
Crap
 
Hivi ni arusha tuu ndio kuna maduka ya kubadili fedha ama ni kwamba arusha kuna mzunguko mkubwa wa hela za kigeni ?
Alisema R~chuga hadi tutubutu sasa ni mwendo wa ubatizo wa moto chini ya yohana mbatizaji
 
Jeshi, polisi, magereza, TISS, Mgambo, Uhamiaji na Zimamoto, vyote ni vyombo vya dola kwa maslahi mapana ya nchi. Polisi wanahongeka kiurahisi na kuvujisha siri, Vita vya kiuchumi vinahitaji askari wazalendo na wazalendo wetu ndio hao JWTZ, iwe Tanzanite, korosho au dola, wahahitajika sana
Mtajijua wenyewe....hata mkiamua kutumia wale makomandoo wanaopasua matofali kwa vichwa sawa tu
 
Nonsense!
Your right !
IMG_20180813_092416.jpg
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom