Benki Kuu(BoT) yaipiga faini ya Sh. Bilioni 1 NBC kwa kutokuwa na kituo cha taarifa Nchini

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
Benki kuu ya Tanzania imeiadhibu NBC kiasi cha Tsh Bilioni moja kwa kosa la kudanganya kwamba inacho kituo kikubwa cha taarifa nchini. Baada ya ukaguzi kufanyika ilionekana NBC haina kituo kikubwa wala kidogo cha taarifa hapa nchini(Primary/Secondary data centre).

Hapo awali tarehe 23 Aug 2019, Benki Kuu ilizipa siku saba Benki na Taasisi za kifedha kuthibitisha kama zina kituo kikuu au kidogo cha taarifa nchini na taasisi itakayoshindwa kufanya hivyo itatozwa faini Tsh. Bilioni 5.

Aidha Benki kuu ilitoa miezi 3 kwa taasisi hizo kufungua vituo vikuu vya taarifa nchini na kwa watakaoshindwa kufanya hivyo ndani ya muda uliotolewa watatozwa Tsh. Milioni 500 kila mwezi hadi watakapo kamilisha vituo hivyo.

Zaidi, soma;

IMG-20190829-WA0043.jpeg
 
View attachment 1193076
Chanzo kizuri cha mapato
Sasa hao NBC taarifa za wateja wao zinahifadhiwa wapi?

Hivi hii benki ni nani wamiliki wakuu??? Nadhani ni kampuni ya 'makaburu'....I smell a rat kuhusu timing yake...anyway ni mawazo yangu tu....serikali ya Tanzania inamiliki asilimia ngapi?..
 
Hivi hii benki ni nani wammiliki wakuu??? Nadhani ni kampuni ya 'makaburu'....I smell a rat kuhusu timing yake...anyway ni mawazo yangu tu....serikali ya Tanzania inamiliki asilimia ngapi?..
Makaburu walihamisha pesa nyingi kipindi cha mkapa, Tanzania, Tanzania uliza waliokuwa ndani kipindi hicho jamaa wezi sana.
 
Haya mambo ndio Nyerere hakuyaelewa kabisa hivi National Bank of Commerce owner sio Tanzania...!!!

Kama ni kuwekeza kwanini wasingekuja na benki zao wakainvest from scratch sio wanakuja na kukuta kitu tayari kina infrastructure wanauziana kwa mgongo wa uwekezaji ......, eti kazi yetu kukusanya kodi.....,
 
Bavicha watapinga,watasema tunakimbiza wawekezaji
Kama unaficha kituo cha database,maana yake unakwepa kodi na kutakatisha pesa,
 
Back
Top Bottom