Benki ipi nzuri kufungua account?

nyanga kante

Member
Jan 7, 2017
36
34
Nataka kufungua account mpy benki ila sijui benki gani nzuri, naomba ushauri kidogo maana sitaki kujuta katika hili
 
account mpy benki ila sijui benki gani nzuri, naomba ushauri kidogo maana sitaki kujuta katika hili
Maelezo uliyotoa hayajjitohelezi.

Ila;

Mahitaji au matumizi ya account husika ndio kigezo cha kuchagua benki sahihi, kutegemea mahala ulipo.

Pia ungesema unapatikana mkoa gani (Sababu baadhi ya benki zipo mijini tu)

Pia Labda ungesema lengo/ kazi ya hiyo account ungepata ushauri stahiki zaidi.

Tuangalie hiki kigezo kama mfano: BENKI IPATIKANAYO KILA MKOA/ WILAYA kila mahala Tanzania - Hapa una machaguo mawili.
1. NMB
2. CRDB
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom