Benki bora kwa kuhifadhi pesa za Biashara/Uwekezaji

Feb 12, 2020
66
84
Habari za uzima wanaJF,
nimekuwa mdau wa kufuatilia taarira mbali mbali za baadhi ya wafanya biashara wa Tz wakiwa wanalalamika juu ya Benki za Tz kwamba wanafatilia sana pesa zako benki , kuna amount flan flani ukiwa unaweka wanakuita na ujieleze pesa unazitoa wapi !!!

so, soon kuna business nataka kuifanya na inaingiza pesa nyingi sana but nahitaji kufungua account ya benki nje ya Tz ,

Naombeni anaefahamu benki nzuri za Nje ya Tz kwaajili ya kuhifadhia pesa zako anipe maelezo hapa Chini
 
Tz wakiwa wanalalamika juu ya Benki za Tz kwamba wanafatilia sana pesa zako benk
Sio kweli kuwa ni benki za Tanzania tu.

Hata benki zingine ambazo zimewekeza hapa nchini, Ni maelekezo na miongozo iliyotolewa kwa wenye benki, watendaji wa benki ni watakelezaji tu.

Hususani pesa kiasi kikubwa kikiingia kwenye account yako. Watahitaji maelezo ya ziada na vielelezo vya kutosha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom