sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Pengine nikiandikacho sitoweza kueleweka kwa wepesi,Na pengine ntashambuliwa kwa maneno makali maana wafanya Kazi Wa benk ya kilimo ni wepesi Wa kukosoa sana na wasio penda kukosolewa.
Kwanza nijitambulishe kwa ufupu kuwa mimi kwa kipindi cha mwaka sasa,nmekuwa nikitoka huduma ya kukusanya madeni katika vyama vya Ushirika nchini kwa hasa vyama vya Ushirika vilivyomo mkoa Wa morogoro.
Moja ya maeneo ambayo benk ya kilimo umeanza kutoa mikopo ni kwa wakulima Wa Mkula scheme,jamani hakuna eneo lilirochafu kwa mikopo ya kila namna kma wakazi Wa mkula kila mkulimabaliyopo pale Ana mikopo zaidi ya miwili kweny vyama mbalimbali vya Ushirika.
Nmeshangaa sanaaaa kufika hapo nakuta benk hiyo tena imebwaga pesa pale HIV kwa nini hamkuhoji pesa ya CRDB imezikwa pale,pesa ya TIB imezikwa pale nanyi pia mmeenda kuzika nyingine pale? Hivi kwa nini watendaji Wa benk za umma hamna uruma Na pesa za uma? Nasema kbsa hiyo pesa mliyoizika hapo mkula,haitorud kamwe,lakini je mmeona maeneo ambayo waannchi wamekopea?MTU Ana hekar moja mmnampa pesa zaidi milioni nyinyi mnapataje repayment capacity?
Haikuishia hapo nimekwenda pahala panaitwa Turiani jamani Na kule mmemwaga pesa kwa wanachama kibao Wa tur sacos ambao,ambao walichukua pesa kutoka CRDB mimj nashukuru maana pesa za mkopo ndo zmetumika kulipa marejesho,sasa hizo zenu mnalipwaje wakati hazikuingia kweny kilimo? Mmekuja mpk tur mkapewa orodha ya wadaiwa bdo mkaendelea kuwapa pesa hivi nyinyi watumishi mbona hamna uruma Na pesa za humma? Nina toa wito kwa mkurugenzi Wa benk ya kilimo kujiangalia upya kiutendaji Na watendaji wake,hasa kuangalia kama wana vigezo vya kufanya Kazi katika benki ya kilimo nchini.vinginevo benk hii itakufa au kuyumba km ambavyo benki ya CRDB Na TIB znavyo yumba asanteni sanaaa