shukrani mkuu manake hii kitu nakumbuka niliisikia wakati niko high school..jamaa alinitonya eti Mkapa nusura arushe ngumi kwenye hardtalk kiwanja!Sikuwahi kuiona kwa macho yangu siku zote hizo.
Mkapa, the traitor!
Mara nyingi waongeaji sana huwa ni Majizi au matapeli! Utatangazaje unapambana na rushwa wakati wewe ni mla rushwa namba moja?
Mkapa ni kifaaa..Uwezo wake binafsi kiakilii ni ngao tosha katika kujiamini kwake.
Uongozii wake bado utaendeleaa kubakia alama ya msingi wa maendeleo ya taifa hilii.
Unaona heri hakufanya ki2 lakini ana uwezo mkubwa wa kujieleza?? damn!! kwa hiyo uko radhi kudanganywa iwapo tu huyo anayekudanganya atapangilia uongo wake vizuri.Ebwana hii niliiona live BBC wakati huo ndio namaliza form 6. Mkapa yuko Nondo sana kulingalisha na vibwetere wengine wako madarakani. Anaongea kiingereza fasaha na anaongea vitu vinavyoelewaka hata kama ndani yake kutakuwa na uongo.
Ebu imagine anangebananishwa president wetu wa sasa hali ingekuwaje?. Maana yeye lazima awe na vi notice kibao mkononi wakati wa kujieleza. Nafikiri Nyerere anaona mbali sana ndio maana akampendezeka jamaa ile 1995, hakumpendekeza huyu jamaa burebure nafiriki aliona anakitu fulani kichwani. He didnt do a lot wakati wa uongozi wake lakini at least anatoa maelezo yanayotia moyo kuliko wazee wa kufunga mkanda daily.....
Kwanza Mkapa professionally ni mtu wa media, na amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka kadhaa kama sikosei.
Vile vile anao uwezo mkubwa wa kujieleza na hicho ni kipaji sio kila mtu anacho.
Mara nyingi waongeaji sana huwa ni Majizi au matapeli! Utatangazaje unapambana na rushwa wakati wewe ni mla rushwa namba moja?
unapomita mtu mwizi lazima uwe na uthibitisho....watu wengi mumejengewa chuki kumchukia na kumdharau mzee wa watu kwa vitu vya kupandikizwa...mwajitakia dhambi bure mbele za Mungu....As for me I look at him as an historical leader in this country hata kama walioko madarakani kwa sasa wanajaribu kuua jina lake....there is a lot around that will continuously speak for him hata kama yeye akinyamza.
Mkapa ni kiongozi bora hata kama alifanya makosa ni kawaida kwa mwanadamu kwani hata yeye hakua malaika....he has done a lot na hakua na muda wa maeneno mengi ya kujitakia umaarufu usioleta tija yeyote....munamchukia na kumsema vibaya labda mutuambia aliwanyima au kuwazibia mwanya gani lakini musimsingizie yasiyo kweli wala kuthibitika.