Benjamin Mkapa on BBC HardTalk (Video)

Nilishuhudia hayo mahojiano ukweli Mkapa alichemka kwanza alisema uchaguzi ulikuwa wa haki lakini jamaa alipomgeuza akasema uchaguzi huu walitumia pesa zao tofauti na uchaguzi wa mwaka 95 hivyo serikali haikuwa na pesa za kutosha akakubali kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki sababu serikali haikuwa na pesa za kutosha waandishi wetu wana la kujifunza namna ya kuhoji maswali
 
Back
Top Bottom