'Benefit of doubt within the love '..Are you always the victim or the winner???

Ni ngumu sana kwenye mahusiano hususani ndoa kuamua kuishi maisha yako....kumbuka mnategemeana sana...in theory unaweza kusema i will live my life me as me..but in practise it really doesn't work in that way...believe me!
hiyo inatokana na kuwekeana maquestion marks kichwani
kwa nini mtu usiwe straight na mambo yako?
 
Ila hata bila evidence, huwezi nidanganya, mara zote hasa ni9napokuwa na doubts naongea na mtu nikiwa namwangilia machoni, na ninauliza maswali ambayo huwezi jua kama yana mantiki, na naweza uliza hata mara 5 swali hilo hilo. Na ukweli hujulikana tu
Kongosho for how long has this method of yours been successful??
Ila kweli kuna issue inabidi ujilipue tu...manake ukisema huna guts..unaweza kuta unafuga kidonda...lol!
 
Last edited by a moderator:
dah, pole Kaunga.

Yaani hakuna kitu nachukia kama kupigwa na uzee huu.

Lakini, inaweza kuwa imekufanya kaunga mwerevu zaidi.

Nafikiri, maana wanasema kukua si kuongezeka umri tu bali ni pamoja na kupambana na matatizo.

I am past it now, na nimeweza kupenda tena!
 
Dah Kaunga pole sana umetukumbusha wengine mbali.

Haikuwa lengo langu kukumbusha 'mbali' my dear, nilitaka kupingana na kauli kuwa wanawake ndio hatutoi benefit of doubt to our partners. Maana wengi wetu hujidanganya to the extent that tunaanza kuuamini huo uongo kwamba watu wetu hawacheat, sasa hiyo ni zaidi ya BOD.
 
Kaunga unatupa matumaini tulio wengi. Yapo maisha baada ya yote.
Ingawa sometimes huwa ninatamani ningekuwa naweza kucharuka kama wale wenginemaana inawezekana ukiwa mcharuko mtu atafikiria mara mbili mbili kufanya ujingamaana anajua yule kichaa wangu akilisikia tu, nimekwisha kuliko wale tunaojiitawastaarabu maana anajua atakuwekaje sawa na utamwelewa tu.
Bali akipata yule wa .... akisikia tu jamaa yuko Bar anakunywa na mwanamke,anacharuka na kiuno anamshikia akifuatiwa na maswali lukuki ya huyu ni nanitena kwa sauti.......jamaa atakuwa anapata shida hata kwa kuwaza akafichie wapimambo yake.

But ninaamini kila mahusiano yakiongozwa na MUNGU huwa yanakuwa na amani.
 
naweza sema 70% inafanikiwa.

Tatizo, ni maamuzi yangu
wakati mwingine naona ukweli lakini mtu kashaniingia sana

najikuta nachelea kufanya maamuzi magumu, lakini hufanya kazi sana.

Kongosho for how long has this method of yours been successful??
Ila kweli kuna issue inabidi ujilipue tu...manake ukisema huna guts..unaweza kuta unafuga kidonda...lol!
 
Last edited by a moderator:
kuna msemo 'ukiona yatima ana ndevu, jua moyo una mvi'

kukua ni kupambana na changamoto, ndio maana Nyerere kuna watu aliwapinga uraisi kwa kudai bado vijana at 45+

good for you kama umevuka kikwazo.

Nafikiri, maana wanasema kukua si kuongezeka umri tu bali ni pamoja na kupambana na matatizo.

I am past it now, na nimeweza kupenda tena!
 
Eti wanaume wana gather info ndipo wanapolipuka. Mimi nilianzishiwa ugomvi kwa kujinunulia chupi tu.

Nilitwangwa mangumi kwa kwenda field na kutopatikana kwenye simu.

On the other hand, yeye alimmimba msichana wangu wa kazi nikaja kugundua mtoto ana 6 months.

pole mamii
imenipa simanzi hii post...
 
Back
Top Bottom