Bendera za CCM

First Eleven

Member
Apr 2, 2011
20
1
Wakati nikiwa naelekea town hapa Dar niliona Bendera za CCM zikipamba baadhi ya barabara. Mwenye taarifa naomba atujuze. Kulikuwa na maandamano ya CCM au Vikao vya CCM.

NB: Japo najuta kutawaliwa na CCM ni vizuri pia kujua wanafanya nini.
 
unatokea mkoa gani mkuu? hayo matambara yapo tangu enzi za sikukuu ya kuzaliwa mtume. kariakoo ni makao makuu ya mamwinyi. siku hizi kipindi cha mfungo mtukufu ukienda kariakoo utashinda njaa. marufuku kuuza wala kula chochote. wala kunywa chochote. fatwah!
 
Kaka nimetokea bara. Kuliashiria kama kulikuwa na kikao fulani hivi. Kuna umuhimu wakua yanayojiri kwenye vikao vyao... Japo ni mwamwinyi,
 
Back
Top Bottom