Bendera ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera ya Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Viper, Jul 26, 2011.

 1. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  katika pita pita zangu mtandaoni nakutana a bendera za tanzania zikiwa zinatofautiana rangi..! huku nipo niliwahi kufika ofisi ya ubalozi wetu na kuchukuwa bendera niweke pambo kwenye meza yangu .. ilibidi nichukuwe mbili za rangi tofauti ... wadau nisaidie kati ya hizi ipi haswa ni bendera yetu nazungumzia rangi blue! .. blue ipi ndio haswa ya bendera ya tanzania

  dddddddddddddddddddddddddd[​IMG]


  ttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt YYYYYOR  KKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKK[​IMG]
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nadhani ya kwanza yenye Blue iliyokolea ndio sahihi...huo mpauko hata haupendezi.
   
 3. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  cHEKI NA jAMAA WA IDARA YA HABARI MAELEZO....
   
 4. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mBONA zOTE zIKO hAPO..aU wEWE uSICHOONA NI NINI??
   
Loading...