Bendera ya Tanzania kwenye mazishi ya Mandela


O

oldisgold

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
198
Likes
2
Points
0
O

oldisgold

Senior Member
Joined Oct 2, 2013
198 2 0
Mwenzenu niko MUBASHARAH au LIVE from QUNU

Lakini kuna mama anacheza na bendera ya Tanzania na anaimba nyimbo ya ki south

Kama PR bas naona tuko safi

je kuna mwana JF anamjua huyu mama au ndio wale asylum seekers waliokuwa Mazimbu?
 

Forum statistics

Threads 1,251,995
Members 481,948
Posts 29,792,535