Bendera ya Tanzania haipo Uwanja wa sheikh Amri Abeid

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
9,833
10,974
Wakuu,nipo uwanja wa sheikh Amri Abeid naangalia mechi ya waheshimiwa wabunge wa Africa mashariki.Wakenya wanatamba na bendera ya nchi yao,sisi Watanzania ndio utafikiri ni wageni.Ni makosa kwa bendera ya Tanzania kupeperushwa na raia?Naona kundi dogo la washabiki wa Tz wakitumia Masai shuka kama bendera.
 
Inawezekana tender ya kupeperusha bendera ya Taifa kwa siku ya leo kwa mchezo husika ilkataliwa na mamlaka husika, hivyo walioitaka tender hiyo wakasusa unjua tena siku hizi kila kitu deal la kupata vijisenti bongo yetu hii. Deal kwanza uzalendo nyuma
 
Back
Top Bottom