Bendera ya rais

Jahmercy

Member
Sep 19, 2010
84
95
Leo nimeona bendera ya rias wa jamhur ya muungano wa Tanzania ikiwa na rangi nyekundu. Nilikuwa naomba ufafanuzi kwa anayefaham hiyo rangi inawakilisha nini ktk bendera ya rais.
 
Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,470
1,225
Leo nimeona bendera ya rias wa jamhur ya muungano wa Tanzania ikiwa na rangi nyekundu. Nilikuwa naomba ufafanuzi kwa anayefaham hiyo rangi inawakilisha nini ktk bendera ya rais.
Acha pumba Bendera ya raisi ina rangi ya Kijani na Blue pekee hakuna red
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,535
2,000
Acha pumba Bendera ya raisi ina rangi ya Kijani na Blue pekee hakuna red
Be polite buddy, he/she has posed a question and not a conclusion, you know what a question can't be a proposition therefore a question can't be a conclusion. Labda ingekuwa bora tumweleze kuwa aloiona siyo bendera ya rais ni kitu kingine. Ujue unaposema acha pumba inaonesha kuwa huyo jamaa kainsist ki2 kisicho cha kweli. Ni ushauri tu mkuu, take it or leave it!
 
EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,484
2,000
Leo nimeona bendera ya rias wa jamhur ya muungano wa Tanzania ikiwa na rangi nyekundu. Nilikuwa naomba ufafanuzi kwa anayefaham hiyo rangi inawakilisha nini ktk bendera ya rais.

Katafute miwani
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,814
2,000
Hakuna red labda bendera ya jeshi kama ulifananishaa na ya rais maana jeshi wanayo yao pia walikuwa wameishika wale wanaopiga baragumu juu pale ukutani....
 
nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
524
225
Acha pumba Bendera ya raisi ina rangi ya Kijani na Blue pekee hakuna red

Bendera ya Rais ina mbalimbali ikiwemo RED.Nyuma ya Rais ni bendera ya Taifa na nyuma ya Mzungu ni Bendera ya Rais. JIONEE MWENYEWE
 
Attachments

 • Tanzania's President and Flag.jpg
  File size
  10.6 KB
  Views
  655
 • Tanzania's President Flag.GIF
  File size
  7.7 KB
  Views
  1,113

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom