Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera ya ccm ibadilishwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gervase, Mar 27, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bendera ya ccm ina alama ya jembe kumaanisha mkulina na nyundo kwa mfanyakazi. Hivi mkulima na mf'kazi wana lolote pale? Nadhani wafanyabiashara za mikataba tata kama rchm au dow.. (wanaofaidi zaidi) hakuna alama yao kwenye hiyo bendera. Au kijani ina maana ya wafanyabiashara wakuuubwa na vigogo kadhaa. Nashawishika kusema bendera hiyo ya kijamaa haina tena relevance ktk jamii ya ki-capitalist., uwekezaji, utandawazi, nk. Hivyo ibadilishwe.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,507
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  bendera ya ccm ichomwe moto
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,359
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Au iwe nyeusi kuonesha maombolezo yameanza ya ccm
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,152
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  No mkuu mbona ilibadilishwa tangu zamani haa baada ya mwalimu kuondoka> rangi ni ileile ila jembe na nyundowaliondoa wakaweka kisu na uma!
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,563
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda Hii!!!!!!!!!!!!!

  Nakumbuka John Cheyo kwenye kampeni za 1995 alisema nyundo inatumika kumpondaponda mtanzania na jembe ni kuchimbia kaburi na kumzilka. Sijui leo anasemaje kuhusu nyundo na jembe
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,270
  Likes Received: 1,553
  Trophy Points: 280
  Haswaaa hii ndio inawafaa nashangaa wafanyaka ****** alishawambia hataki kura zao mwisho wasiku TISS ni wafanyakazi wakampa kibali cha kula tena!!!
   
Loading...