hata mie mway hua zinanitia hamu ya kutaka kujua umuhimu wa Bendera kiujumla na zilianza wakati gani? katika vita miaka ya kupigana na pinde, mikuki na panga kuna wabeba bendera ambao walikua bize kubebe wakati wote wa mapigano !Mahoteli hupeperusha bendera za mataifa mbalimbali. Je bendera hizi zinamaanisha nini?
Mahoteli kupeperusha bendera za mataifa mbalimbali maana yake nikukujulisha kuwa raia kutoka nchi husika ambazo unaona bendera zao zinapeperushwa kwenye hiyo hoteli wamefikia hapo au kwa maana nyingine hoteli husika wana wageni kutoka nchi ambazo unaona bendera ziko nje ya hoteli
Hiyo assumption yako uliyoitoa haiwezi kufanya kazi, wao wanaangalia idadi ya wageni walionao toka nchi husikaSina hakika na hili...kwa maana ito pakiwa na wageni 500 wanaotoka nchi tofauti tofauti tutakuta bendera 500 pale nje....au ww ukienda hotel ya nje ya nchi let's say labla ni uchina au marekan...hoteli utakayo fikia itasimamisha bendera ya tanzanzia...na shaka juu ya hili
Hamna hata mmoja ambye amejibu kwa usahihi........... hebu jaribuni tena!
Kama wewe ni Mkenya, ukifika hotelini nchini Tanzania let say Holiday Inn, watu hotel ndo watakuuliza umetokea wapi, ukisema umetokea Kenya, bendera ya nchi yako itapandishwa juu kwenye mlingoti kuashiria kwamba katika Hotel hiyo kuna mgeni kutoka Kenya, so mtu akipita tu akiona atajua ahaa hapa kuna Mkenya!
Sasa tumejibu tofauti, tusaidie mkuu!
Kiutaratibu, bendera inawakilisha wageni waliofikia hotel hiyo ni wa kutoka maeneo gani kwa maana ya nchi, ukienda hotel yoyote ile ya kimataifa lazima utaona bendera za namna hiyo zinapeperushwa nje, mifano hai nenda pale kenmpisnki(sina hakika kama jina liko sahihi), Holiday Inn, Roayal palm na mengineyo!
nnunu!! exellent! namaanisha umeongea exactly maana ya hizo bendera! Mtambuzi tambo zooote!