Bendela ya chadema ipepee nusu mlingoti....heshima kwa wahanga......

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
....poleni watu wa Arusha na Watanzania kwa ujumla...ninachoshangaa mbona hawa police mateso yetu ndo yao?inakuaje tunaanza kuuana ndugu kwa tofauti ya mavazi tu?...sijui kwenye mazishi kama hawa police wetu watakuja.
Elimu inahitajika kwa hawa police.police na police jamii kwenye maswala ya ulinzi shirikishi sijui ka watakaa pamoja usiku kwenye lindo huko Arusha...
 
kwanza napenda kuchukua nafasi hii kuwasalimu wana jf wote hii ni post yangu ya kwanza
na nawapa pole wnaharakati wote huko arusha kwa janga kuu lililo wapata. ila wanaharakati wote tusikate tamaa huo ni mwanzo tu
tunawasubiri chadema mikoa mingine.
nakuunga mkono mtoa post chadema iweke nusu mlingoti.hivi jamani hawa police walikuwa wanafikiria nini jamani:director:
 
Back
Top Bottom