Benard Membe kuleta Tume huru ya uchaguzi ili CCM ishinde kihalali

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Mchezo unaoendelea kwa sasa ni wa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Tume huru inaandaliwa lakini kwa manufaa ya CCM. Wapinzani tafakari kama mnaweza kuishinda CCM katika mazingira haya:

Iwapo Membe ataenda ACT, basi wana CCM wasiompenda Magufuli na wana CHADEMA wasiokipenda chama chao, watakuwa upande wake.

Iwapo uchaguzi utacheleweshwa ili katiba mpya iandaliwe, basi Membe anaweza kugombea kama Mgombea binafsi (ili azigawe kura kama nilivyoeleza hapo juu).

Kwa mazingira kama haya, Tume huru itakuwepo na mshindi atatangazwa kihalali na atakuwa JPM.

Ikumbukwe kuwa CCM bado ina mtaji mkubwa wa wapiga kura miongoni mwa wananchi wa vijijini na wazee. Vijana wote na wasomi watajigawa kwa Membe na kwa Lissu, hivyo kumpa Magufuli nafasi kubwa ya ushindi.

1. BENARD K MEMBE (ACT/PRIVATE CONTESTANT) ...X

2. JOHN J.P MAGUFULI ...

3. TUNDU A.M LISSU ...X

Lengo si Membe kuwa Raisi bali CCM kubaki madarakani.
 
Unatakiwa kuelewa kama ccm ina mtaji mkubwa wa wanachama kwanini wawekeze kuwanunua wapinzani kwa mamilioni ya fedha?

Tunataka Rais Magufuli ajue wafanyakazi na wananchi wamekuwa na kinyongo naye kwa kuwa amefanya maisha yao kuwa magumu zaidi.

Changamoto zao haziwezi kutatuliwa kwa kuwekeza mamilioni ya pesa kwa kuwanunua wapinzani.

Amekuwa anakiuka haki zao za msingi na bado anafanya hivyo, ni watu wasiojua haki zao na wajinga wanaoogopa kujipigania ndio watampigia kura.

Na atambue amehusika pakubwa ku threaten haki na uhuru wa watanzania na kuwafanya washindwe kuzungumza kwa kujiamini kwa udhaifu wake wa kuwaogopa wapinzani.

Mark my words he has a poor strategy to undermine and silence the righteous.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa kulewa kama ccm ina mtaji mkubwa wa wanachama kwanini wawekeze kuwanunua wapinzani kwa mamilioni ya fedha?

Tunataka Rais Magufuli ajue wafanyakazi na wananchi wamekuwa na kinyongo naye kwa kuwa amefanya maisha yao kuwa magumu zaidi.

Changamoto zao haziwezi kutatuliwa kwa kuwekeza mamilioni ya pesa kwa kuwanunua wapinzani.

Amekuwa anakiuka haki zao za msingi na bado anafanya hivyo, ni watu wasiojua haki zao na wajinga wanaoogopa kujipigania ndio watampigia kura.

Na atambue amehusika pakubwa ku threaten haki na uhuru wa watanzania na kuwafanya washindwe kuzungumza kwa kujiamini kwa udhaifu wake wa kuwaogopa wapinzani.

Mark my words he has a poor strategy to undermine and silence the rightious.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanachama kwenye Chama cha siasa waliwahi kutosha?
Hakuna Chama kinakataa wanachama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezo unaoendelea kwa sasa ni wa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Tume huru inaandaliwa lakini kwa manufaa ya CCM. Wapinzani tafakari kama mnaweza kuishinda CCM katika mazingira haya:

Iwapo Membe ataenda ACT, basi wana CCM wasiompenda Magufuli na wana CHADEMA wasiokipenda chama chao, watakuwa upande wake.

Iwapo uchaguzi utacheleweshwa ili katiba mpya iandaliwe, basi Membe anaweza kugombea kama Mgombea binafsi (ili azigawe kura kama nilivyoeleza hapo juu).

Kwa mazingira kama haya, Tume huru itakuwepo na mshindi atatangazwa kihalali na atakuwa JPM.

Ikumbukwe kuwa CCM bado ina mtaji mkubwa wa wapiga kura miongoni mwa wananchi wa vijijini na wazee. Vijana wote na wasomi watajigawa kwa Membe na kwa Lissu, hivyo kumpa Magufuli nafasi kubwa ya ushindi.

1. BENARD K MEMBE (ACT/PRIVATE CONTESTANT) ...X

2. JOHN J.P MAGUFULI ...

3. TUNDU A.M LISSU ...X

Lengo si Membe kuwa Raisi bali CCM kubaki madarakani.

and who cares? I need to put plate of Ugali on table for my kids.......
 
Kama ccm itabaki madarakani kihalali na kwa mujibu wa katiba. Basi hakutakuwa na tatizo. Ila tume huru ya uchaguzi ni muhimu regardless nani atashinda huo uchaguzi.
Mchezo unaoendelea kwa sasa ni wa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Tume huru inaandaliwa lakini kwa manufaa ya CCM. Wapinzani tafakari kama mnaweza kuishinda CCM katika mazingira haya:

Iwapo Membe ataenda ACT, basi wana CCM wasiompenda Magufuli na wana CHADEMA wasiokipenda chama chao, watakuwa upande wake.

Iwapo uchaguzi utacheleweshwa ili katiba mpya iandaliwe, basi Membe anaweza kugombea kama Mgombea binafsi (ili azigawe kura kama nilivyoeleza hapo juu).

Kwa mazingira kama haya, Tume huru itakuwepo na mshindi atatangazwa kihalali na atakuwa JPM.

Ikumbukwe kuwa CCM bado ina mtaji mkubwa wa wapiga kura miongoni mwa wananchi wa vijijini na wazee. Vijana wote na wasomi watajigawa kwa Membe na kwa Lissu, hivyo kumpa Magufuli nafasi kubwa ya ushindi.

1. BENARD K MEMBE (ACT/PRIVATE CONTESTANT) ...X

2. JOHN J.P MAGUFULI ...

3. TUNDU A.M LISSU ...X

Lengo si Membe kuwa Raisi bali CCM kubaki madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni awazo yako na siyo ya watanzania na kumbuka hauko kwenye akili za watanzania usipende kutoa majibu ya Baraka kiongozi.
Mchezo unaoendelea kwa sasa ni wa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Tume huru inaandaliwa lakini kwa manufaa ya CCM. Wapinzani tafakari kama mnaweza kuishinda CCM katika mazingira haya:

Iwapo Membe ataenda ACT, basi wana CCM wasiompenda Magufuli na wana CHADEMA wasiokipenda chama chao, watakuwa upande wake.

Iwapo uchaguzi utacheleweshwa ili katiba mpya iandaliwe, basi Membe anaweza kugombea kama Mgombea binafsi (ili azigawe kura kama nilivyoeleza hapo juu).

Kwa mazingira kama haya, Tume huru itakuwepo na mshindi atatangazwa kihalali na atakuwa JPM.

Ikumbukwe kuwa CCM bado ina mtaji mkubwa wa wapiga kura miongoni mwa wananchi wa vijijini na wazee. Vijana wote na wasomi watajigawa kwa Membe na kwa Lissu, hivyo kumpa Magufuli nafasi kubwa ya ushindi.

1. BENARD K MEMBE (ACT/PRIVATE CONTESTANT) ...X

2. JOHN J.P MAGUFULI ...

3. TUNDU A.M LISSU ...X

Lengo si Membe kuwa Raisi bali CCM kubaki madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la muhimu sana ni Tume huru ya Uchaguzi. Na hii ni faida kwa Magufuli pia.

Siipendi CCM, na wala siyo shabiki wa Magufuli, lakini nikiwa mkweli wa nafsi yangu, naamini kwa hali ilivyo mpaka sasa Magufuli hata bila ya kuiba kura hata 1, kwenye nafasi ya Urais atashinda.

Mimi sina shida juu ya chama chochote au mgombea yeyote akishinda, alimradi ushindi uwe halali. Ushindi ukiwa halali, hata kama hukumchagua, ukiwa na busara, hata kama hutaki kumheshimu yeye, itabidi umheshimu kutokana na wale wengi waliomchagua. Ndiyo demokrasia.

Rais Magufuli ana nafasi muhimu sana. Yeye amelaumiwa kuliko wote kwa kugandamiza demokrasia. Lakini akianzisha Tume Huru ya Uchaguzi na akaleta katiba mpya, ataonekana ni mdemokrasia kuliko wote waliotangulia. Hata huko nyuma, hatukuwahi kuwa na demokrasia halisi bali ilikuwa ni kuuma na kupuliza. Magufuli kaamua kuuma moja kwa moja. Lakini anaweza kuionfoa nchi kutoka kwenye udikteta wa kuuma na kupuliza, na kuipeleka kwenye demokrasia ya kweli. Na kwa hulka yake ya kutopenda kushindwa, akitaka hata kesho mchakato wa Tume Huru unaanza.
 
Back
Top Bottom