Tetesi: Benard Membe kahudhuria mazishi ya Bush?

Maisha ndivyo yalivyo,wakati unadhani kuwa unapata relief kwa kuua upinzani wa nje kumbe at the same time unauimarisha ule wa ndani na huo ndio mbaya sana kwani kuna uwezekano mkubwa kuwa hata baadhi ya watu wa karibu unaowaamini sana kumbe nao ni wapinzani wako ila mwenyewe hujui.Ndio maana wajuzi wamesema huwezi kuumaliza upinzani wakati hata Mungu mwenyewe ana mpinzani/wapinzani.
 
Wadau Memb wa 2020 hayupo nchini, je yupo nje kwenye mazishi ya baba yake Bush au kaenda nje kukutana na wanadiplomasia wenzake?
Membe kwanza ana shida ya Uongozi wala Kisasi na Mtu yeyote! Yupo ajamjibu Mtu yeyote na wala ayupo Tanzania ma wala Ayupo Na Bifu na CCM
miaka 5 iliyopita alikuwa bize na vitu kama hv
HEAD of the Sadc Election Observer Mission to Zimbabwe, Tanzanian foreign affairs minister Mr Bernard Membe arrived in Harare last night to deliver the regional bloc’s final report on the harmonised elections held on July 31 5yrs back
 
Anajiandaa na kampeni
Adobe_Post_20181202_225653.jpeg
 
huyu ni Baba wa watu ana family na watoto pls tumwache apumzike!!! Urais kwakwe ni kitu kidogo!! Huyu Nyerere ALIMPA JUKUMU LA KUWA MKUU WA USALAMA NA ULINZI WA TANZANIA TENA ENZI ZA VITA BARIDI NA NYAKATI ZA UTAWALA WA MAKABURU NA RENAMO ZANPF SWAPO hapa Tanzania tunakula mahindi ya njano tena Kwa kaya!!wasauz wapo Mazimbu na Dakawa!!! Mwacheni apumzike!!! kama mnataka CCM aje Aokoe jahazi 2020 Tumieni njia shahihi!!! zama za elimu mliyoipata pale PATRICE LUMUMBA UNV MOSCOW .2018 na kuendelea aiwezi fanya kazi!!! Kizazi mnachokiongoza na vijana wa leo sio wale wa Tiamens squere na pia aturudi huko!!!mjipange mje na new strategics ila Baba wa watu Membe muacheni mpeni uhuru wake. Ata Bibi ipo siku alikuwaga Kigoli tena mrembo titi saa sita leo😳😳 Marapa😁😁😁😁
D1BC21DB-B17E-4B0F-8515-AD2C12BDCEAC.jpeg
D1BC21DB-B17E-4B0F-8515-AD2C12BDCEAC.jpeg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom