Benadeta Kinabo apewa tuzo ya Milioni Moja Mei Mosi

Huyu mama ni makini sana kikazi na mfuatiliaji wa sheria, anaijua kazi yake kikamilifu, muda simrefu atakuwa RAS.

Madiwani wa CDM tatizo lao ni cheap popularity pasipo kujali taratibu na sera ya elimu ya nchi inasemaje!

Haihitaji kuwa ccm kujua sera ya nchi inasemaje kwenye elimu, sote tunajua kwamba hata kama huna uwezo kuchangia elimu ni lazima.. hiyo ndio sera na ndiyo aliyoisimamia, sasa sijui sera ya misamaha ya kodi unaichukuliaje.. wanasamehewa mabilioni wenye uwezo wa kulipa kodi na kisha kuwabana wafanyakazi na wafanyabiashara wadogo kulipa kodi tena kwa kuwaumiza.

cheap popularity ni kutetea wananchi, nao ndio wanaojua u-popular wa wale wanaowatetea au kuwakandamiza
 
JF: Where we Dare To Talk Openly

Na wewe ulijiunga baada ya nini?

Heshimu mawazo/michango ya wenzio mkuu,Umeleta Thread acha members waichangie,na si kila mchango lazima ulenge unachokitaka wewe....

Haya mambo ya kuanza kuangalia mchangiaji kajiunga lini hayaijengi JF hata kidogo

Thanks
 
ni yule aliyezuia chadema-moshi kulipia watoto wa shule ada kwa madai kuwa wazazi watakosa uchungu wa elimu kwa watoto wao.

eti na yeye (kinabo) ni mfanyakazi hodari.


System za wezi zinapobebana...
 
Waliojiunga JF baada ya CCM kuanzisha komedi ya kujivua gamba:

Join Date : 11th April 2011
Posts : 82
Thanks 0 Thanked 9 Times in 6 Posts
Rep Power : 21

Ww una matatizo sana, badala ya kujibu hoja unaanza kuleta maneno yako ya bafuni hapa
 
Huyu mama ni makini sana kikazi na mfuatiliaji wa sheria, anaijua kazi yake kikamilifu, muda simrefu atakuwa RAS.

Madiwani wa CDM tatizo lao ni cheap popularity pasipo kujali taratibu na sera ya elimu ya nchi inasemaje!

umeyasikia ya Kigoma lakini?
 
Back
Top Bottom