Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben ulipo sis bado tunakuombea uwe mzima au umeliwa na chatu kama alivosema member tumainiel hakika dam yako itakuwa juu yao na watoto wao
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali

Watu wasiojulikana, huu mkwara na tunachokifahamu huyu member lazima awe muuaji

Mtazamo tu ila uhakika ni 84%
 
0768797982

Hiv mwenye hii namba alishaitwa Polisi Kuhojiwa?

Polisi wangemfuatilia tujue kama ni CHADEMA Wanacheza chezo au CCM kupitia TISS wanacheza Chezo. Uchunguzi ulipaswa kuanzia hapa. Je umeshafanyika?
 
Ni nani huyu mwenye haki ya kuhoji uwepo wa uhai wa MTU??? Daaah inasikitisha sana
Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata.Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu .You are too young to die. Tunajua utaandika na hili.Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha.Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia.Andika Ben.Andika sana ,ongea.Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite na watu wake walio Vamia Clouds... Tuambie huyu mtu yuko wapi?
 
Back
Top Bottom