Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Hivi Ben hatarudi tena?? Kijana mwenye miaka hiyo unaweza kumpatia adhabu kubwa namna hiyo? I dont want to imagine that Ben won't be arround again...kwamba he is no more? !!! .....nooooo!!!!!
 
Hapa binafsi labda ipite siku moja tu au mbili, lakini siyo zaidi ya hapo. Kumbukumbu zangu kwa member mwenzetu Ben Saanane, zitakuwa kubandika posti moja hapa kila siku ikiwezekana. Hadi ifikie mahali jambo lifanyike. Kusipokuwepo na hatua zozote, tutaanzisha thread again mpaka kieleweke.

Kama kuna amabaye ameguswa na jambo, hata chama cha chadema, ni muhimu kufanya kikao na kuamuwa hatua zaidi za kuchukuwa na siyo huu ukimya!
 
Hivi Ben hatarudi tena?? Kijana mwenye miaka hiyo unaweza kumpatia adhabu kubwa namna hiyo? I dont want to imagine tha Ben won't be arround again...as he is no more? !!! .....nooooo!!!!!
Time will tell bro, nothing else, only time and perseverance.
 
Hivi hata ndugu wa Ben walishawauliza polisi kama walifuatilia hii namba na matokeo yake ni nini? Yani vitisho vyenyewe kama hivi tayari si makosa ya jinai?

Ukimya wa Mzee Saanane na ndugu wengine wa karibu unaweza ukawa ni kutokana na ugumu wa kufuatilia au hata kukatishwa tamaa na pengine kutishwa.

Lakini pia ukimya huo unaweza kutokana na wayajuayo wao ambayo wanaJF hatuna ufahamu nayo.
Palikuwa na mtu mwenye jina la Malisa hapa JF aliyejitahidi kulifuatilia jambo hili. Huyo mtu naye hasikiki tena; pengine ikiwa ishara ya hayo wayajuayo wao ambayo wengine hapa hatuyajui.

Halafu kuna CHADEMA, huwasikii wakilifuatilia tena hili jambo, pengine pia ikiwa ishara ya kujua tusiyoyajua sisi.

Otherwise, kama kutoweka kwa Ben ni hivyo tufikirivyo wengi wetu hapa, basi hakuna aliye salama ndani ya nchi hii.
Ni kumwomba Mungu tu na kuendelea na maisha. Lakini ni mwiko kunyamaza kuwafurahisha wanaotenda mambo ya shetani hawa.
Hawatashinda kamwe.
 
umerudi kwenye story

Ben saa nane, msaidizi wa Mbowe yuko wapi?

unaanza kuikana chadema mkuu, sio vizuri
Mkuu akili yako umejikita Zaidi kwenye ushabiki. I prefer to stay above the fray. Above partisan politics.

Ungekuwa unafanya hivyo, usingeuliza maswali so cheap and shallow minded. Pale unaponiuliza mimi personally wapi alipo Ben.

Mkuu hata kama una bifu lako na Mbowe, siyo sababu ya kujitoa ufahamu. Kuhusiana kwake na Mbowe hakumfanyi kuwa mtu mbaya na asiyestahili haki zake za kimsingi.

Yani unaita story? Inaonekana uko numbed somewhere in your mind ndo maana kuna wanaodhani wewe ni yule Gentancymine. No reasoning, very little if any!

Maswali ambayo ungetakiwa kujiuliza, ni kama vile...

1. Kwanini polisi hawafanyi uchunguzi?

2. Kwanini wale waliokuwa wakimtisha na kumwandikia messege za vitisho hawajachukuliwa hatua yoyote ile? Pamoja na kwamba aliwapa polisi namba zao?

Ama ina maana haufahamu kuwa hata vitisho pia kama hivyo ni makosa ya jinai? Tena ilitakiwa polisi waweke kipaumbele Zaidi kwasababu aliyekuwa akitishwiwa sasa kapotea ama kutekwa? Wewe unasubiri tu mtu aongee jambo kuhusu Maghufuli na wewe ndo utokwe povu kuwa anatukanwa!

Ama kweli kuishi kwingi...
 
Hii posti imenifikirisha sana!

Kuhusu huyu mtu Malissa, yeye nadhani kuna bandiko ambalo aliandika kipindi kile Mo alipotekwa. Nadhani aliuliza swali mle kuwa inakuwaje nchi nzima iko kwenyetaharuki kwasababu ya kutekwa kwa Mo, polisi wako kila mahali wakijishghulisha na kujituma. Lakini kwa issue ya Ben Saanane walipotezea. Hilo lilinifanya niamini kuwa, hata kama kuna taarifa ama informations ambazo wanazo na wamekuwa kimya, bado haijaonekana wao kubadilisha msimamo wao kuhus Ben, kwamba hajulikani alipo na atakuwa ametekwa more likely na wale aliokuwa akiwakosoa.

Kwahiyo binafsi, naamini ukimya huo siyo mzuri kwenye afya ya uchunguzi wa jambo hilo! Kwasababu ninaamini kuwa ukimya huo, labda ni wa uoga ama kukata tamaa, lakini si vinginevyo. Ndivyo navyoamini.
 
kwa Mo, polisi wako kila mahali wakijishghulisha na kujituma. Lakini kwa issue ya Ben Saanane walipotezea. Hilo lilinifanya niamini kuwa, hata kama

Inawezekana kukawa na hilo la kukata tamaa.

Lakini hebu linganisha na tofautisha, kutekwa kwa Mo na kupotea kwa Ben; labda itasaidia kuona sababu na tofauti ya haya matukio mawili:

Mo alitekwa watu wakiona tukio zima. Habari ikawa imeenea kila mahali. Wazazi na ndugu marafiki, kelele kila mahali. Billion moja ikatangazwa. Hawa walikuwa na uwezo wa mali na watu wengi nyuma yao. Achilia mbali Wana-Simba.

Ben.; habari ilianzia hapa JF; huyo G. Malisa hasa ndiye aliyeiwekea nguvu. Mzee Saanane, sijui hata kama alishafika polisi kufuatilia hadi ngazi gani (simlaumu), kwa sababu panaweza kuwa na sababu nyingi mbalimbali zinazoweza kumfanya asiweze kufanya hivyo. Kama alifuatilia hadi huko polisi, hatujui aliambiwa nini, au aliahidiwa uchunguzi utafanyika hadi lini.

Mimi nadhani kwa hali ya kawaida tu na ya kibinaadam, mzee yule angepewa msaada, hata kama ni wa nauli tu ili afuatilie hili jambo la mwanae huko polisi. Mzee sijui uwezo wake wa kulifanya hili jambo bila ya kupewa msaada.

CHADEMA wangeweza kumpa ushirikiano zaidi ili aweze kutimiza hili; la kujua polisi wamefikia wapi na uchunguzi wao, na hata kumwongoza jinsi ya kueneza taarifa kuhusu kupotea kwa mwanae na juhudi zinazofanyika.
 
Roho za wasio na hatia zinatangatanga zilipe kisasi kwa wahusika na kizazi chao,zikimaliza ndo zitaenda panapostahili.Hakuna chochote chema kitakachofaulu unapozulumu nafsi ya mtu
 
Mkuu naona unapoteza muda kuniita majina yote mabaya

my questions was so simple, hauna haja ya kuandika yoote hayo, hakuna anayekupa kikombe humu, au sifa!...jua kuwa unapoteza muda kudharau, kejeli au kutukana....wengine akili zetu huwa haziumii kuandika any words of which you think it may hurt me


swali ni simple kabisa, Mbowe na wewe kama chadema mmechukua hatua gani? ushawahi kuitisha maandamano ya kuwa unataka Ben saa nane aonekane? atafutwe?

Hivi kwa mtu kama mbowe kitu gani cha serious kabisa ambacho anaweza kupambana nacho kama sio maisha ya mtu?

Haileti raha kusikia Mbowe kafungwa au yuko rumande kisa chadema wanataka Ben saa nane aonekane?

Mo umesikia juzi ncho nzima ilishikamana!

Hauwezi kuwa coward na akili ndogo nikadai Polisi wamemficha Ben saanane, halafu siku ya pili unataka polisi hao hao wamtafute!....?..akili za kuwa useme nini wakati gani hamna!

Leo Mushi hataka kama ungekuwa houseboy wa Mbowe ghafla ukapotea Mbowe hana muda na wewe....Mbowe hana sense ya ku own vitu vyake!...haiingii akilini ukimya wa makamanda wote nyie wa CDM kwa ishu ya Ben saanane, ona aibu mkuu!!

Unalalamikia CCM, polisi, sijui nani lakini hatujaona push yenu kumtetea Ben saanane, hakuna mkuu, zaidi ya kuongea sasa Coward hapa sijui nani? nani ana low mind? nani ana akili ndogo? HOW COME YOUR BLOOD BROTHER mnakaa nae ofisini, strategist wa issues zote za chadema leo anapotea kisha mnakaa na kusema polisi wamtafute...uanaume gani huo kama sio ushoga? mnapaswa mtajwe chadema nzima kuwa ni mashoga, haingii akilini huu ukimya kuhusu ben saanane

Majuzi mliandamana kwa sababu za uchaguzi kinondoni na maskini Aqwilini akafa, Lema akaitisha press conf. kwa ajili ya MO,

Ila hao hao chadema hawawezi kuandamana kwa sababu ya uhai wa ben saanane??!!!!!..hivi una akili kweli?' fika muda ongea ukweli mkuu!..hizi kutupatupa lawama mnavyofanya kama mna mimba hakufai, go to the streets for Ben saanane, ....do that!!.acha kugombana na waberoya humu..
acha kujiona una akili wakati ni muoga...acha kujivika ujasiri kama wa amber rutty wakati ni wachafu chadema mpaka sasa mmechemsha, nasema "mmechemsha" because you guys are supposed to be initiators wa movement zozote za kumtafuta Ben Saanane..believe me

Raia wa kawaida wakiona CDM wanaandamana kwa sababu ya Ben saanane, kila raia atakuunga mkono, utapandisha uzalendo wa wanachama kwa chama chao...every one will feel "this is our home"....kukaa kimya kama hivi hakufai mkuu, narudia tena ona aibu

Kuna taarifa kuwa Mbowe anawapoteza hawa watu wake, na kuna uthibitisho wa uhalifu kama huu...HATA KAMA NI YEYE..basi afanye bas kuigiza kuandamana kumtaka Ben saa nane

kuwa serious kidogo mkuu, nataka kukukuza uwe mwanaume maneno yako humu yaendane na actual action on field

Haya ya kuwapiga CCM kwa maneno na povu la sabuni, mnatia kinyaa
 
Wtf unamuandikia nani waraka? No time I swear. Sisomi ujinga mrefu. Kwanini unakuwa kama malaya mbovu? Wtf is this rambling for?you dumbfuck
 
Wtf unamuandikia nani waraka? No time I swear. Sisomi ujinga mrefu. Kwanini unakuwa kama malaya mbovu? Wtf is this rambling for?you dumbfuck

Mkuu acha hasira, tulia hivyo hivyo dawa iingie!...ushakuwa waraka sasa? na post yako ilikuwa nini??

Nimecheka kwa nguvu sana

Yaani hapo umefanya sawa kabisa na mlivyo!..mnakimbia hoja, mkibanwa mnatukana,

Kwanza nimwambie moderator aliyeko zamu akutafute, huwa sipendi mgonjwa kuondoka bila kumaliza sindano "ujage ujage"
 
CHADEMA wangeweza kumpa ushirikiano zaidi ili aweze kutimiza hili; la kujua polisi wamefikia wapi na uchunguzi wao, na hata kumwongoza jinsi ya kueneza taarifa kuhusu kupotea kwa mwanae na juhudi zinazofanyika.
Naunga mkono hoja, chadema must do something about it.
 
Zakaria asingewapiga wale watu risasi!! Ungejua kuwa walikuwa watu wa idara gani ?! Mengine tuyaache, Mungu ndiye ajuae watesi wa waTz na ndiye atakayetoa suluhisho
 
Hivi Ben hatarudi tena?? Kijana mwenye miaka hiyo unaweza kumpatia adhabu kubwa namna hiyo? I dont want to imagine that Ben won't be arround again...kwamba he is no more? !!! .....nooooo!!!!!
Natamani kuona Ben akiachiwa huru kama alivyoachiwa 'Mo' na wale watekaji wa kizungu. Au Chadema ingetangaza dau la Fedha kwa atakaesaidia kupatikana kwa Ben Saanane. Inasikitisha kwa kweli.
 
Natamani kuona Ben akiachiwa huru kama alivyoachiwa 'Mo' na wale watekaji wa kizungu. Au Chadema ingetangaza dau la Fedha kwa atakaesaidia kupatikana kwa Ben Saanane. Inasikitisha kwa kweli.
chadema wangeanza atleast na dau. Ama kama kuna wadau wa chama au wasio na chama lakini wameguswa, wanaweza kufanya hivyo. Kuna kitu kinaitwa "go fund me page" kama sikosei, ambapo mchango unaweza kupitishwa. Lakini ukimya wa chadema pia sijafurahishwa nao.
 
Back
Top Bottom