Ben Saanane, kada wa CHADEMA azua taharuki, namba yake yaleft Magroup ya WhatsApp

Kwani mw3nye gazeti hili anauelewa kiasi gani? Huenda shule ndogo? Tusimulaumu
 
Habari njema.
Wengi tulishaanza kuwaza vibaya.

Nasubiri habari zaidi na mawili matatu kutoka kwa Ben .
 
Habari ya kipuuzi inapewa uzito wa namna hiyo?Huyo mwandishi mjinga sana hii yote ni ili auze gazeti tu
 
I hope gazeti hili lina detailed information !! Maana MTU kapotea more than six months then unakuja na blabla ??? Inafaa mwandishi huyo akamatwe au afungiwe milele kuandika habari asizokuw na uhakika!!

Mwenye Gazeti anajua fika alikomficha na nawashangaa Watu mnashindwa kujiongeza na kusoma alama za nyakati.
 
hiyo ndiyo chadema, huku Mbowe na Wema kwenye mahaba kule Ben S8 kaibuka Tanzania daima gazeti la chadema..
Chademaaaa!
Naona si mda mrefu ngumi zitapigwa kati ya mwenyekiti na mbunge wake mtata aliyekuwa gerezani hivi karibuni,
Kila mmoja anadai ni wake.

Mwenyekiti akivua miwani yake anapiga ngumi huyo balaa.
 
Nafikiri Mhariri wa hilo gazeti hakupaswa kuipa hiyo habari kichwa cha namna hiyo na upendeleo wa kukaa mbele ya Gazeti.

Kawaida mtandao wa WhatsApp namba isipotumika kwa zaidi ya miezi sita,basi "automatic" namba husika "hujileftisha".Na mkikaa mnakuta tu "Saanane has left the group"

Iliwahi zua taharuki kwenye "group" la Familia,ndani ya hilo group kulikuwa na ndugu wa pande zote za mke wangu na ndugu zangu,sasa kuna shemeji yangu alifariki na alikuwa ndio admin wa kundi.

Siku hiyo tumeamka,tunakuta "Zephania has left the group"....halafu kuangalia kipengele cha uadminister kinonyesha mdogo wake ndio amekuwa Admn.Tatizo Admin aliyerithi alikuwa chapombe sana,kila siku anaibiwa simu,kwa hiyo update za kifamilia anakuwa hajui na hawezi ku-manage...Nikapoga kura ya "Veto" kumpoka cheo

Ilizuka taharuki kweli baada ya kuona marehemu kajileftisha,watu wakaanza kuhoji inakuwaje?lakini kufuatilia ikaonekana WhatsApp inajiondoa baada ya miezi kadhaa bila kutumika,na kama muhusika alikuwa Admin,basi yule aliyekuwa wa pili kusajiliwa kwenye kundi baada ya Admn ndio anakuwa Admn wa kundi "automatic".

Hili la [HASHTAG]#BenSaanane[/HASHTAG] litakuwa hivyohivyo
Asante sana kwa kunifumbua macho
 
Kubenea huwa simuamini
Jinsi ninavyomdharau kwa undimilakuwili wake hata akisema ukweli nitadharau tu.
Hakuna mnafiki kama huyo jamaa
Kukariri kubaya. Tanzania Daima wana husianeje na Kubenea?
 
Habari njema.
Wengi tulishaanza kuwaza vibaya.

Nasubiri habari zaidi na mawili matatu kutoka kwa Ben .

Kweli una ndoto.
Yaani ben alivyorudi uko alipotoka tu cha kwanza kaamua kuleft group.mi nafikiri angepost kitu ndo ingekuwa habari.
Vinginevyo atakuwa ameleft MAZIMAAA.
 
Nilisema na nitaendelea kusema mtindo wa siasa za CDM utaiua yenyewe. Niliandika zamani na naamini CDM ilikuwa inatafuta kitu kibaya juu ya serikali hii.

Ila mtego ulikataa kufuatuka tu.

Mwache aende kijijini kwao, hana jipya mjini kwa kutumika kisiasa.
Hii ndio habari kuu katika Gazeti la TanzaniaDaima la siku ya leo ambapo simu yake yadaiwa kuzua mijadala mitandaoni huku familia yake nayo ikitoa neno.

Sina details bali hizi ndio dondoo za magazeti ya leo kwenye vyombo mbalimbali vya habari.

Chanzo:TanzaniaDaima

Hii ndio Tanzania yetu!!!
 
Bujibuji na wewe unashngilia ujinga huu? Ukiwa group member whatsup, ukikaa muda mrefu bila kuwa hewani, namba yako ina left automatically.

Sasa chadema kuona namba ya ben inaleft, wakaona waitumie kuuzia gazeti, maana ukipiga haipo hewani, muda wa kukaa bila kutumia whatsup umefika kikomo.

Hivi kwa nn chadema(Tanzania Daima) wanamtumia Ben kujinufaisha?

Wajinga sana
Sijashabikia ujinga. Nilitaka niweke question mark, niulize Ben Saanane? Sijajua ni kwanini kiulizo kilipotea kininja
 
Back
Top Bottom