Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
hebu weka kimemo kimoja hapa tuweze kukidurusu maana mimi sina taarifa juu ya uwepo wa vimemo hivyo.sasa ungeviweka hapa ingekuwa bora.acha kuzuga basi .......unafikiri tumesahau vimemo alivyo andika katibu mkuu wa ccm mangula kwenda bank kuu kwa balali mwaka ule kaa pembeni usitukumbushe mengine hii ni kuhusu ufisadi kupitia green tang na kag