Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

Eddah kishimba akaendelea kuandika na kulalamika jinsi wafuasi wa CHADEMA walipomshambulia kwenye post yake

''Mmenitukana sana na kunidhalilisha ,asanteni nyote.Ila Maadili ya utanzania yako wapi?Nashangaa mnamshabikia kiongozi aliyempa Mimba mtoto wa watu na kumtorosha hivi angekua dada yenu mnefanya nini.Swali ben njoo hapa useme ni kwanini ufadhiliwe na ubalozi wa Marekani kwenye Masters yako ya International relations huku kukiwa na tuhuma kwamba wewe ni mojawapo wa vijana 12 ambao CIA wamewatengeneza hapa Afrika?Njoo ueleze uhusiano wako na Inke Chinedu na Chichi Obi wa nigeria.Njoo ueleze ni nani aliyekua akikulinda pamoja na kashfa zako nzito kule Nigeria za kutengenezea wahalifu waliokubuhu Passport za mataifa ya Afrika ukishirikiana na wanigeria na wacongo.Mafaili ya Kesi yenu na wakenya yalipotea katika hatua ya kutatanisha kwa uhuni mlioufanya halafu leo unasema ni kwa nini Interpol hawakukamati?Wewe ni muuaji na mwanasiasa ambaye uko tayari kuona DAMU INAMWAGIKA.Unataka nkuwa mwenyekiti wa vijana kwa kuwa umeshazoea kuona damu zikimwagika kama mlivyo chadema na viongozi wenu.Vipi tuhuma za mauaji ya Zitto Kabwe ?mnavyomuunga mkono huyu kaka kwenye hili suala la kumpa mimba mtoto wa watu na kumtorosha inaonyesha jinsi CHADEMA mlivyokosa maadili.Huyu ni shetani,ni pepo....na nitazidi kuleta picha zake na wanawake wake.Marekani wangemuunga mkono Clinton kwenye uyzinzi wake na monica Lewsky wasingefika hapa .watu wengine mngejikalia kimya badala ya kuponda kitu ambacho hamkijui''
 
Kwa maelezo yako, aliyekuwa anaongelewa ni mtu siyo chama kwayo kilichofanyika ni kumuanika huyo mtu pabaya.

in an ideal world, CHADEMA kana effective opposition kilitakiwa ku-set a motion and not to be cornered by CCM na kuanza kucheza mchezo ambao CCM ni magwiji. It'll never work.


Kaka funguka kwanza naona unaongea ukiwa usingizini amka.Listen Nape na wahuni wenzake walienda Goba .Wakaacha kuongelea maswala ya Nchi ikawa ni Mnyika nk .Chadema wame enda wameongelea mikakati yao na nini wamefanya na pia wakajibu hoja iliyo tolewa na Nape ni kawaida ndiyo politics uliyaka Mnyika aende pale aondoke bila kugusia ujinga ule halafu wasema si mmeona kaja hata hakujibu nilichosema ? Is this politics to you ?
 
Kaka funguka kwanza naona unaongea ukiwa usingizini amka.Listen Nape na wahuni wenzake walienda Goba .Wakaacha kuongelea maswala ya Nchi ikawa ni Mnyika nk .Chadema wame enda wameongelea mikakati yao na nini wamefanya na pia wakajibu hoja iliyo tolewa na Nape ni kawaida ndiyo politics uliyaka Mnyika aende pale aondoke bila kugusia ujinga ule halafu wasema si mmeona kaja hata hakujibu nilichosema ? Is this politics to you ?

Mkuu unadhani huyo uliyemjibu haelewi? Anaelewa sana isipokuwa kakasirika baada ya kuvunjavunja propaganda zao kule Goba. Na kila watakapomwaga matusi yao Chadema itaenda kusafisha mara moja.
 
Kamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA.

Akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara huko GOBA jana Saanane alisema anamfahamu vema Nape kwani walisoma pamoja huko nchini India.Saanane alieleza kwa kirefu jinsi Nape alivyotumia njia zisizo halali kupata elimu yake.Saanane alimtaka Nape afunge mdomo kwani kamwe hawezi kujilinganisha na John Mnyika kwa sababu ni sawa na kulinganisha na mbingu na ardhi.

Akishangiliwa na umati mkubwa wa watu Saanane pia aliwatahadharisha wananchi kuhusu Juliana Shonza na Mtela Mwampamba ambao walifukuzwa na Chadema na sasa wanatembezwa majukwaa mbalimbali na CCM kwa lengo la kuwatukana matusi viongozi wa Chadema.

Ben Saanane kwa siku za karibuni amejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Chadema tangu pale alipofichua njama za usaliti ndani ya Baraza la vijana la Chadema-BAVICHA na hatimaye wasaliti hao walioongozwa na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakafukuzwa uanachama.

Kumlinganisha Nape na Mnyika ni sawa na kufananisha kijito na Ziwa. Nape ni dhaifu sana kichwani, kama ------.
 
Hebu mtaje huyo Professor

Huwajui watu waliomaliza form four wakaenda vyuo vya ualimu na kisha kujiunga faculty of education pale UD na sasa ni maprofessor? Soma prospectus ya UDSM utawaona. Sina haja ya kutaja majina hapa
 
Kimbunga; Angalia usije ukawa unapita tu kama ulivyo ktk jina lako.

Si useme tu?

Ok. Kuna mtu alipost hapa akasema Ben Saanane ni secret agent wa Taifa fulani kubwa na alikuwa recruited wakati akiwa India. Na pia kuna mambo ambayo jamaa aliandika yanahusiana na Rwanda ila siyo kumpa mimba mtu.
 
Last edited by a moderator:
Kaka funguka kwanza naona unaongea ukiwa usingizini amka.Listen Nape na wahuni wenzake walienda Goba .Wakaacha kuongelea maswala ya Nchi ikawa ni Mnyika nk .Chadema wame enda wameongelea mikakati yao na nini wamefanya na pia wakajibu hoja iliyo tolewa na Nape ni kawaida ndiyo politics uliyaka Mnyika aende pale aondoke bila kugusia ujinga ule halafu wasema si mmeona kaja hata hakujibu nilichosema ? Is this politics to you ?

Kaka, mimi nimeandika kulingana na kile nilichokisoma kwenye hii Thread. Tafuta katika hiyo Thread kama utaona chochote zaidi ya mipasho kuwekwa kama ndiyo ilikuwa theme ya mkutano. Samahani, labda macho yangu yamenidanganya.

Mnyika is better than this trash talk.Mimi ninafikiri kuwa watu wanatafuta promotion kwa mgongo wa Mnyika kiasi kwamba hata hawakuyagusia yale ya maana aliyoyasema.

Ni mawazo yangu tu.
 

Hata mimi nilisoma moja ya comments Facebook nikaona jinsi Eddah Kishimba alivyotukanwa.Ila kuna tuhuma nyingine ambazo eddah alitoa baada ya kuona ametukanwa kwenye suala la mimba nakumbuka post yake kuwajibu waliomshambulia pia

'Sina haja ya Mimba kama ni Mimba ninaweza kupata kutoka kwa mwanaume yeyote.Mimi ni msomi na nina kazi.Ben alishirikiana na maofisa ubalozi wahuni kama yeye wa Nigeria pamoja na vijana wa Nigeria kutengeneza paspoti fake na kumtorosha Joan baada ya kuona moto umewaka.Walitengeneza paspoti mbili za Uganda na Congo-DRC.Ben Njoo useme hapa kama hujashirikiana na Doreen(Mke wa mbunge wa Mbale kule Uganda) aliyekua anafanya PHD Chuo kikuu cha Jawahlal Nehru kumtorosha Joan.Njoo ukatae umafia wenu pale Delh na wahuni wa Sudan,Nigeria,Congo na wayahudi waliokua wakitengeneza Dola fake,paund na EURO.Wakati huyu anataka kuwa Mwenyekiti wa vijana ndiye anayeongoza kwa uhuni na aliyekubuhu kwa umalaya na kubadili wasichana kama babu yao Slaa na akina john Mnyika.Kuanzia leo nitakua namwaga picha mfululizo na huu ni mwanzo tu akifuta huku namwaga tanuru,blogs na vyombo vya habari.Shetani mkubwa wewe!'

mkuu hebu anzisha post yake hii habari
 
Ben saa8 najua upo jamvini saa hizi kaza buti ulichokifanya ni cha maana sana kuwalipua hao masalia na lazima watasema mengi
 
Juliana Shonza,
Haka kabinti ndiyo kiboko ya Chadema.

Kakitokeza tu Pro-Chadema JF karibia wote mapovu yanawatoka.

Waala hakatutishi kataishia kujipaka kiny..si kenyewe....mlikatuma bahati mbaya hakakumaliza kazi, tukakatimua....hasira za kufukuzwa chama halafu hajamaliza kazi yake ya kuharibu chama, ndo pumba zile anazomwaga majukwani kwa sapoti ya eti viongozi wa chama chenu....shame on you!

Mtalinywa
 
Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).

mkuu umenena kitu cha maana sana,naona kama jf siku hizi imekuwa ya chama fulani na kwa ajili ya mipasho.ndio maana siku hizi siwaoni wale mara kwa mara wale wazee wetu vichwa waliokuwa wachangiaji wakubwa humu jukwaani.vijana naomba tubadilike,tujadiliane issues ambazo zitawakomboa watz na si kujadili watu na kupeana mipasho.pia mods nawaomba sana muwe waangalifu na mambo yanayoendelea humu ndani ya jf kwani inapoteza uhalisia wake wa 2007.
 
Msaliti ben saa nane kawa kamanda hahahaaaaaaaa kweli siasa ni mchezo mchafu
 
Acha kupindisha historia.
Wasaliti waliongozwa na Ben Saanane (COBRA) kwa kushirikiana na Habibu Mchange (MDUDE). Ila baada ya Ben Saanane kuona anakosa fursa ya kukutana na Zitto (PREZZO) akaamua kubadilisha plan.

Hivi mdude kafia wapi?!
 
Huyu demu ni kiboko sana.Hata mie mate yamenitoka .Hongera sana kijana Ben umechukua taste zangu kabisa .Mengine ni upuuzi wewe piha siasa kaka .


ndiyo hapo sasa badala ya watu kumpongeza kijana amezaa na kisu wanaleta propaganda za ajabu ajabu. Dr. fastjet mwenyewe mbona amezaa mpaka na watu waajabu ajabu sana!!!
 
Kaka, mimi nimeandika kulingana na kile nilichokisoma kwenye hii Thread. Tafuta katika hiyo Thread kama utaona chochote zaidi ya mipasho kuwekwa kama ndiyo ilikuwa theme ya mkutano. Samahani, labda macho yangu yamenidanganya.

Mnyika is better than this trash talk.Mimi ninafikiri kuwa watu wanatafuta promotion kwa mgongo wa Mnyika kiasi kwamba hata hawakuyagusia yale ya maana aliyoyasema.

Ni mawazo yangu tu.

Wewe kila mkutano wa Nape ndiye unaripoti hapa Jamvini alichokisema halafu unakuja hapa eti kushauri Chadema.Pole sana Gamba.
 
Back
Top Bottom