Ben Pol with his bae at Salt Bae Dubai

Yaani majamaa ya Kenya yanashangilia watz Kuto.mba dada zao..
Hehehe, aisee endeleeni kutufanyia recommendations za dada zenu wakare sisi tuwakaze kisawasawa,
Mashemeji zetu mna mambo sana nyie
 
Kenyans are global. We are up do date and can hold down a conversation anywhere in the world. Few Tanzanian celebrities can do that..............in fact when somebody mentions a Tanzanian woman who is presentable anywhere in the world, Venessa Mdee and her sister Namtero Mdee comes to mind - they are both Kenyan educated. That's the reason whenever Tanzanian musicians reach a certain level of stardom, they ditch Tanzanian girls. They want something presentable as they travel the world.
They can hold a conversation anywhere with their terrible accent!

Halafu utani mwingine mbaya sana!!! Yaani mtu kama Amina ameshawekwa ndani na kilichobaki ni kupigwa mimba na kuzalishwa tu na Ali Kiba lakini bado unaamini the boy ditched Tanzanian girls so as to have a presentable Kenyan girl with him as he travels across the world?! You don't believe that, do you?!
 
km wameanza kw dada zao hata mende watawafuata na kaka zao baadae inaonekana hawana shughuli
 
Kwa taarifa yako ndo tunaanza kuwadominate hivyo, maana mke siku zote yuko chini ya mume, na kenya imetoa wanawake wengi kwa wasanii wa kibongo so mnaenda kuwa chini yetu

Jiandaeni kisaikolojia
Mimi ni mtanzania ila kusema hivi sio sahihi
 
Mbona vinaumana tena


Sema mwanaume ukikubali kuolewa na kulelewa ndoa haiwezi dumu mamaee pesa ya mwanamke chungu kuliko muarubaini..
 
Back
Top Bottom