Ben Pol with his bae at Salt Bae Dubai

Wanawake wazuri wote wa Kenya watachukuliwa na watanzania kwasababu wanaume wa Kenya ni law class.

Sent using Jamii Forums mobile app

Law class= Low class
Ni kawaida wanawake wa Kenya huwa hawawaopendi kabisa Majamaa ya kule...mimi nimeishi Nairobi yalinikuta sana haya...hauna haja ya kuwa staa wala nini..wanaamini wa TZ tuko romantic na tunajua mapenzi.............
 
Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.

Wakenya inabidi mjifunze kuwakaza wanawake zenu vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mademu wa Kenya huwezi kukuta umbo namba 8 ...yaani kuanzia kiunoni kwenda chini huwa ni bure kabisa nafikiri ni sababu ya kutokuwa na muingiliano wa makabila tofautitofauti .......yaani nimejaribu kutafuta mwenye kiuno cha nyigu na chura na guu la bia nimekosa kabisa kule Kenya....labda kama unataka wa kuongea kiingereza cha kina Wema Sepenga...lakini not presentable at all....Hawa mastaa wa kibongo ni malimbukeni wa Lugha...na ni wachache watakaowaoa kweli

Yani mibongo ni mijitu isiyo na akili kweli...............kama mastaa waTz walio na uwezo wa kupata demu mrembo kama Diamond, Ali Kiba na Ben Pol wanakuja Kenya kutafuta mademu alafu mbilikimo mjinga asiye na umbo wala pesa kama wewe anasema Kenya hamna mademu? Wee kubali mademu wa Kenya huwezani nao. Malenge.
 
Wanawake wazuri wote wa Kenya watachukuliwa na watanzania kwasababu wanaume wa Kenya ni law class.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaume wenye hadhi wote Tanzania watachukuliwa na mademu wa Kikenya - jua hilo. Sie tunachukua your top cream. Other than Ben Pol aliyempata demu Tajiri, Diamond na Ali Kiba wamepata mademu wa kawaida tu ingawaje warembo huku mademu waTz wakiambulia patupu.
 
Hahahahahahahahah, piga kelele lakini tutaendelea kuwatafuna wadada zenu mchana kweupe, ninyi hamna uwezo wa kuwapata Dada zetu kwasababu wanaume wa Kenya huku kwetu wanaonekana kama second class men.

Sent using Jamii Forums mobile app

Usiseme tuta-, sema wata-, maanake wewe haumo kwa wale wlio na uwezo wa kutafuna mademu wa Kikenya. Ni wale mastaa tu ndio wana uwezo.
 
Law class= Low class
Ni kawaida wanawake wa Kenya huwa hawawaopendi kabisa Majamaa ya kule...mimi nimeishi Nairobi yalinikuta sana haya...hauna haja ya kuwa staa wala nini..wanaamini wa TZ tuko romantic na tunajua mapenzi.............

Mtu hawezi ishi Nairobi na akawa mjinga kiasi chako hivi. Nairobi ni jiji la wajanja. Wewe kijana wa vijiweni Dar, acha kujihusisha na Nairobi.
 
Wanaume wenye hadhi wote Tanzania watachukuliwa na mademu wa Kikenya - jua hilo. Sie tunachukua your top cream. Other than Ben Pol aliyempata demu Tajiri, Diamond na Ali Kiba wamepata mademu wa kawaida tu ingawaje warembo huku mademu waTz wakiambulia patupu.
Mademu wazuri wote Kenya wanachukuliwa na watanzania, ninyi tunawaachia wale wabaya, wakati huku Tanzania wasichana wazuri tunawala wenyewe, ninyi hamna uwezo wa kuwachukua mademu wetu wazuri kwasababu wanaume wa Kenya wakija huku ni second class.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiseme tuta-, sema wata-, maanake wewe haumo kwa wale wlio na uwezo wa kutafuna mademu wa Kikenya. Ni wale mastaa tu ndio wana uwezo.
Hapa tunazungumzia watanzania na wakenya, hatuzungumzii Mimi na wewe, Diamond anawakilisha Tanzania. Ukweli unabaki pale pale kwamba Dada zenu wazuri wanatafunwa na watanzania mbele ya macho yenu, ninyi hamna uwezo wa kutafuna watanzania, hata Amber Rutty hamuwezi kumpata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu wazuri wote Kenya wanachukuliwa na watanzania, ninyi tunawaachia wale wabaya, wakati huku Tanzania wasichana wazuri tunawala wenyewe, ninyi hamna uwezo wa kuwachukua mademu wetu wazuri kwasababu wanaume wa Kenya wakija huku ni second class.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya madem wazuri kibao hadi tunatuma wengine wachukue wanaume kidogo walio na pesa Tanzania. Madem watanzania wanabaki na mafukara kama joto la jiwe.
 
Hapa tunazungumzia watanzania na wakenya, hatuzungumzii Mimi na wewe, Diamond anawakilisha Tanzania. Ukweli unabaki pale pale kwamba Dada zenu wazuri wanatafunwa na watanzania mbele ya macho yenu, ninyi hamna uwezo wa kutafuna watanzania, hata Amber Rutty hamuwezi kumpata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unajitoa maanake unajijua wewe fukara aliye na umbo la sokwe.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom