joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Sorry, low classWanawake wazuri wote wa Kenya watachukuliwa na watanzania kwasababu wanaume wa Kenya ni law class.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry, low classWanawake wazuri wote wa Kenya watachukuliwa na watanzania kwasababu wanaume wa Kenya ni law class.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wazuri wote wa Kenya watachukuliwa na watanzania kwasababu wanaume wa Kenya ni law class.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tz women are beautifulthanks to the Arabs.Nimekuelewa mrembo....Watoto wa kibongo wapo very presentable....I hope hata wewe Janerose unafaa ,uko cute'n' brainy......tatizo mastaa wetu wana ulimbukeni flani
Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.
Hahaaa.English is mentally slavery leaked man white arseAliyekutuma uandike hiki kimombo walai Mungu anamuona
Tatizo mademu wa Kenya huwezi kukuta umbo namba 8 ...yaani kuanzia kiunoni kwenda chini huwa ni bure kabisa nafikiri ni sababu ya kutokuwa na muingiliano wa makabila tofautitofauti .......yaani nimejaribu kutafuta mwenye kiuno cha nyigu na chura na guu la bia nimekosa kabisa kule Kenya....labda kama unataka wa kuongea kiingereza cha kina Wema Sepenga...lakini not presentable at all....Hawa mastaa wa kibongo ni malimbukeni wa Lugha...na ni wachache watakaowaoa kweli
Wanawake wazuri wote wa Kenya watachukuliwa na watanzania kwasababu wanaume wa Kenya ni law class.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah, piga kelele lakini tutaendelea kuwatafuna wadada zenu mchana kweupe, ninyi hamna uwezo wa kuwapata Dada zetu kwasababu wanaume wa Kenya huku kwetu wanaonekana kama second class men.
Sent using Jamii Forums mobile app
Law class= Low class
Ni kawaida wanawake wa Kenya huwa hawawaopendi kabisa Majamaa ya kule...mimi nimeishi Nairobi yalinikuta sana haya...hauna haja ya kuwa staa wala nini..wanaamini wa TZ tuko romantic na tunajua mapenzi.............
Mademu wazuri wote Kenya wanachukuliwa na watanzania, ninyi tunawaachia wale wabaya, wakati huku Tanzania wasichana wazuri tunawala wenyewe, ninyi hamna uwezo wa kuwachukua mademu wetu wazuri kwasababu wanaume wa Kenya wakija huku ni second class.Wanaume wenye hadhi wote Tanzania watachukuliwa na mademu wa Kikenya - jua hilo. Sie tunachukua your top cream. Other than Ben Pol aliyempata demu Tajiri, Diamond na Ali Kiba wamepata mademu wa kawaida tu ingawaje warembo huku mademu waTz wakiambulia patupu.
umependeza sana mrembo. which one do you prefer, Kenyan Man or Tanzanian Man?
Hapa tunazungumzia watanzania na wakenya, hatuzungumzii Mimi na wewe, Diamond anawakilisha Tanzania. Ukweli unabaki pale pale kwamba Dada zenu wazuri wanatafunwa na watanzania mbele ya macho yenu, ninyi hamna uwezo wa kutafuna watanzania, hata Amber Rutty hamuwezi kumpata.Usiseme tuta-, sema wata-, maanake wewe haumo kwa wale wlio na uwezo wa kutafuna mademu wa Kikenya. Ni wale mastaa tu ndio wana uwezo.
Kenya madem wazuri kibao hadi tunatuma wengine wachukue wanaume kidogo walio na pesa Tanzania. Madem watanzania wanabaki na mafukara kama joto la jiwe.Mademu wazuri wote Kenya wanachukuliwa na watanzania, ninyi tunawaachia wale wabaya, wakati huku Tanzania wasichana wazuri tunawala wenyewe, ninyi hamna uwezo wa kuwachukua mademu wetu wazuri kwasababu wanaume wa Kenya wakija huku ni second class.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unajitoa maanake unajijua wewe fukara aliye na umbo la sokwe.Hapa tunazungumzia watanzania na wakenya, hatuzungumzii Mimi na wewe, Diamond anawakilisha Tanzania. Ukweli unabaki pale pale kwamba Dada zenu wazuri wanatafunwa na watanzania mbele ya macho yenu, ninyi hamna uwezo wa kutafuna watanzania, hata Amber Rutty hamuwezi kumpata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mademu wao sisi tunatafuna tukiwacha, wao wakija huku ni kama wamepata malaika. Ingia IG uone jinsi wanavyofurahia Ben Pol Kupata Mkenya. Demu Mkenya ni malaika kwa Mtanzania.................akina joto la jiwe ni ufukara unaowazuia kupata demu Mkenya.okayy, whatever Prezzo’s sex drives me crazy - Amber Lulu
Tabia ya wanaume ni kutafuna wanawake wazuri popote pale, kumbuka Diamond amevuruga sana hapa Tanzania, akaelekea Uganda, sasa yupo Kenya, hatujui kesho atakua wapi, hivyo hivyo kwa Kiba na Ben Pol.WamekOsa nini hadi wakaja Kenya kufuata mademu wenye sura za baba zao? Usihepe swali langu joto la jiwe. Nijibu kwa ufasaha
Wa Kenya sii wa kuvurugwa. Wa Kenya ni either you keep her ama akuvuruge wewe. Watch this space.Tabia ya wanaume ni kutafuna wanawake wazuri popote pale, kumbuka Diamond amevuruga sana hapa Tanzania, akaelekea Uganda, sasa yupo Kenya, hatujui kesho atakua wapi, hivyo hivyo kwa Kiba na Ben Pol.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu huyo manzi mimi mwenyewe namfukuzia akija bas uko pm usinimalizie kaka
Umesahau Namibia pia ana koloniTabia ya wanaume ni kutafuna wanawake wazuri popote pale, kumbuka Diamond amevuruga sana hapa Tanzania, akaelekea Uganda, sasa yupo Kenya, hatujui kesho atakua wapi, hivyo hivyo kwa Kiba na Ben Pol.
Sent using Jamii Forums mobile app