ngoja tuone...Subiri tu..
Walikutana wadau wa Burudani, waandishi wa habari nk. Vigezo ni ubora.Nominees | East Africa Television
Hivi ni vigezo gani vilitumika kupanga categories hizi?
kwa kiwango cha kuiondoa WCB na Daimond kwenye categories zote?Walikutana wadau wa Burudani, waandishi wa habari nk. Vigezo ni ubora.
Inashangaza...... labda ndo zile team zetu nchini??Sijaelewa pia kwanini WCB haipo kabisa....
Huenda hawakuchukua form. May be!Inashangaza...... labda ndo zile team zetu nchini??
Kulikuwa na kuchukua form?? Niliona wakitangaza categories tu....Huenda hawakuchukua form. May be!
Yap.. ilibidi kila Msaniimwenye nia ya kushiriki ajisajili.Kulikuwa na kuchukua form?? Niliona wakitangaza categories tu....