Ben Pol: Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wanamtongoza mpenzi wangu DM

Kwani huyo mmakonde ana net worth dollar ngapi?
IMG_20190608_104620_421.jpg
 
Ben Pol amesema kwa interview kuwa Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wana slide kwa sana kwa dm ya mchumba wake Anerlisa.

Kama kawaida yenu watanzania hampendi kuona watu wanaelewana lazima muanze tabia zenu za kichawi. Sasa kila mtu anajua Ben Pol na Anerlisa ni wapenzi tena wanapendana sana eti Harmonize, Sheta wanamtongoza Anerlisa sijui wanamuonea wivu Ben Pol maana eti Anerlisa ana pesa wivu ingine ya kijinga sana.

Sasa hivi mtu kama Harmonise ni wa kumtongoza Anerlisa? sura yenyewe mbovu bodi yake ndio kabisa haielewekagi yuko kama mtu aliepata kwashiorkor ya kwa ukubwani na huyo mwingine ana macho kama mtu anayetaka kuingizwa motoni saa zote amekodoa halafu wote ni wafupiii sijui kama vinini hebu muacheni Ben Pol na Anerlisa wake wanapendana wanapendezana wale maisha yao uchawi wenu pelekeni huko huko kwenu.

Mimi naipenda sana couple ya Ben Pol na Anerlisa hawana blah blah nyingi kama sio wa Africa vile

Hao ni wajinga
 
Anerlisa anatoka katika familia ya kibilionea ya keroche ambayo ndio yenye fedha na si yeye binafsi.

harmonize ni hustler anamiliki mkwanja mrefu sana kwa sasa yani ukitaja A-list artist wa E.A kwa utajiri huwezi kumuacha harmonize kwenye top 5.
anajituma sana anafanya show hovyohovyo zinamuingizia pesa kibao na show zake ni zakukusanya vijiji.
hapa ni yeye tu.
sijaingiza utajiri wa mpenzi wake
Hata angekuwa trilionea.. Kwa ule muonekano wake abaki na Sara Mzungu tu
 
Kama wewe ulimpa akasuuza rungu tafadhali usitusemee na sie wengine,,, tatizo lenu mnaamini wanawake wote tunababaika na umaarufu,,, domo kwa mtu km mimi na umaskini wote nilionao namkataa kilaini kabisa bila kushtuka
Kwanza hata ukitokewa na Domo utahisi kudhalilishwa. Utajiuliza hivi huyu ananichukuliaje mimi. Kuna wanaume wana pesa na maarufu lakini mwanamke unajua kabisa hii takataka stahiki yake ni wanawake wasiojielewa kama kina Mobeito, Sepetunga
 
Msenge wewe
 
We jamaa ni muongo wewe, hivi unajua East Africa ni Kenya, Uganda na Tanzania.....

Huyu mmakonde ambaye hata nyumba yake haijaisha unataka umuweke meza moja na akina Jaguar...

Alaf Harmonize naye ajiheshimu bama, hivi kwa sura ile kama andazi lililo chacha ndo anataka aingie meza moja na Ben Pol. Saiz yake ni huyohuyo Sarah wanyefanana sura
daa mkuu hatari wenye sura mbovu mnadudisi hivi
 
Mkuu umewapangua kisawa sawa, wabongo huwa tunapenda kushushana tuu, harmonize ana mpunga mrefu sana kwa sasa aisee, siwezi jua networth ya Huyo anelisa na huenda ana networth kubwa, issue inakuja amezipataje, mbali na miradi aliyo nayo huyo manzi ila kwa sasa konde boy anaingiza pesa ndefu kumzidi Huyo mrembo......Mtu analipwa karbia one billion for a single hit song na youtube, out of show, advertisement n.k....
Hivi wewe unautani hiyo pesa hawezi kulipwa msanii yoyote bongo mzee wasanii wenyew hawa hata viwanja wanaishia kuulizia ndo useme wanalipwa billion kwa nyimbo moja
 
Hivi wewe unautani hiyo pesa hawezi kulipwa msanii yoyote bongo mzee wasanii wenyew hawa hata viwanja wanaishia kuulizia ndo useme wanalipwa billion kwa nyimbo moja
Uliza YouTube watakupa habar kamili, dogo anapiga hela kama hana akli vizur
 
Kizuri kula na nduguyo. Hataki demu wake atongozwe anadhani akina Harmonize wao watat0mbã wapi? Atulie tu, aache kuwabania wenzake.
 
Ben Pol amesema kwa interview kuwa Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wana slide kwa sana kwa dm ya mchumba wake Anerlisa.

Kama kawaida yenu watanzania hampendi kuona watu wanaelewana lazima muanze tabia zenu za kichawi. Sasa kila mtu anajua Ben Pol na Anerlisa ni wapenzi tena wanapendana sana eti Harmonize, Sheta wanamtongoza Anerlisa sijui wanamuonea wivu Ben Pol maana eti Anerlisa ana pesa wivu ingine ya kijinga sana.

Sasa hivi mtu kama Harmonise ni wa kumtongoza Anerlisa? sura yenyewe mbovu bodi yake ndio kabisa haielewekagi yuko kama mtu aliepata kwashiorkor ya kwa ukubwani na huyo mwingine ana macho kama mtu anayetaka kuingizwa motoni saa zote amekodoa halafu wote ni wafupiii sijui kama vinini hebu muacheni Ben Pol na Anerlisa wake wanapendana wanapendezana wale maisha yao uchawi wenu pelekeni huko huko kwenu.

Mimi naipenda sana couple ya Ben Pol na Anerlisa hawana blah blah nyingi kama sio wa Africa vile

Uuuuwiiiiiii!!! Ngachoka mimi
IMG-20190531-WA0043.jpeg
 
Back
Top Bottom