Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

Labda alibadili dini baada ya kuoa...

Bibie akawa anampakulia kitimoto kwa siri mpaka aliposhtuka kuona pua ya kitimoto kwenye mchuzi...

Huwa nashangaa mara nyingi mkristo nu rahisi sn kubadili Dini kuwa mwislamu hasa linapokuja swala la kuoa/kuolewa,lkn maisha baada ya ndoa yanakuwa ya unafiki mkubwa sn

Nimeshuhudia wakristo kadhaa wanabadili Dini lkn matendo ni ya kikisto km kawaida..kitimoto kinapigwa vizuri Tu,Nina ndugu yangu Hadi kanisani anaenda lkn ameolewa ndoa ya kiislamu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hawa wasanii ukianza fuatilia ishu zao unaweza dhani ni aliens walioshushwa toka sayari za mbali...

Jamaa alifunga ndoa kanisani, fews months later akatosana na mkewe, then akabadili dini na jina, then akapatana na mkewe na sasa mambo ya talaka...Haya yote yametokea maybe in a year or less
Kuna Uzi humu niliuona mwaka Jana ulijadiliwa sn kuhusu Ben Pol

Alikuwa anapongezwa na viongozi wakubwa wa Dini Kwa uamuzi wake wa kubadili Dini na Hadi cheti tukaonyeshwa

Sasa haya mambo ya kanisani yametokea wapi tena

Imefika mahali wasanii hawana tofauti yoyote na wanasiasa,ni waongo na wanafiki sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu huyu wa kanisani ni yupi na yule wa msikitini ni yupi
Bado sijaelewa,alifunga ndoa mbili ya kikisto na kiislamu Kwa wakati mmoja au alifunga ya kiislamu kisha akaachana na hiyo ndoa na kurudi ukristo na kufungua ndoa nyingine ambayo ndy hii tunayoijadili

Na vipi lini alirudi tena kuwa mkristo maana si juzi tu hapa ndy alisilimu na kuwa muislamu..

Asee udaku ni kipaji Kwa kweli,Yani sielewi chochote Hadi sasa

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wajuvi watufungue kati ya Ben pol na huyu mkenya ni nani atapoteza zaidi baada ya mgawanyo wa mali ?

Mgawanyo wa malizipi sasa? Yaani ben pol agawane na bi’dada mali ambazo bi’dada kazitolea jasho? Hamna huo utaratibu
 
  • Kicheko
Reactions: vvm

Alafu Kwa nn inakuwa rahisi sn Kwa mkristo kusilimu Kwa sababu ya kipochi manyoya kuliko mwanaume wa kiislamu kufanya hivyo dhidi ya binti wa kikristo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mwanamke hanaga dini ndug.....!! Wewe kama binti umemuelewa Ila anakwambia mpak ubadili dini uwe mwislamu , chap Tu we badili alaf badae ukiwa kwenye ndoa unapiga u- turn moja matata Sana , na hapo awe ameshatotoa mbna anaanza kuitunza sabato bila was was huku anakulilia kifuani
 
Kachoka kulambisha na kunyonyesha kipochi manyoya na yale matakooo atapata cancer ya koo bure
 
Back
Top Bottom