Bora tu mkuu ungeandika kiswahili hapa nilipo sina mbavu na hicho ki-English chako cha tuitionMi nilushawakia kitambo sana. Nilikuwa na demu Shule ya msingi Mnazi Moja Dar es Salaam hapohapo. Tukaamua you twende together St. Anthony's Mbagala. Kilichofanyika huwezi amini. Nimebwagwa mazima kwasababu kakutana jamaa yuko High level halafu anapiga basketball kama Michael Jordan. Kilichorndelea mimi niliamua kujificha kwenye vitabu kwa miaka minne. To make the story short, since that time, the only woman I trust is my mother. I never get married, and not going to marry anybody. I'm doing it big and those who put me on a shame Lane while I was a little boy, I thank them so much, because without them I could not make this big
Bora tu mkuu ungeandika kiswahili hapa nilipo sina mbavu na hicho ki-English chako cha tuition
Pole sana. But usifanye hivyo. Huo sio uamuzi sahihi. Its okay kumchukia huyo manzi, its okay kupata maumivu ya moyo, its okay kujisikia unahitaji kuwa pekee yako na upweke. Ila its not okay kuamini you are doing just fine ukiishi namna hiyo.Mi nilushawakia kitambo sana. Nilikuwa na demu Shule ya msingi Mnazi Moja Dar es Salaam hapohapo. Tukaamua you twende together St. Anthony's Mbagala. Kilichofanyika huwezi amini. Nimebwagwa mazima kwasababu kakutana jamaa yuko High level halafu anapiga basketball kama Michael Jordan. Kilichorndelea mimi niliamua kujificha kwenye vitabu kwa miaka minne. To make the story short, since that time, the only woman I trust is my mother. I never get married, and not going to marry anybody. I'm doing it big and those who put me on a shame Lane while I was a little boy, I thank them so much, because without them I could not make this big
Ila vijana wa sasa tunawapa fedheha sana wazazi wetu kwa kuwaonyesha kuwa hawakutulea vizuri na kutujenga vema kuja kuwa wanandoa.
Ndio maana namuelewa mond hafanyagi masihara yaani unaoa mke hata mimba hakuna Ben pol unafeli wapi braza?Hawajachuma hata mimba? Au Ben ana nyota ya Bashite tumkimbize China?
Ha ha ha, hata mimi huyu jamaa nilikuwa namuona yuko smart sana kumbe ndo hivyo tena...Ben nilidhani ni mtu makini sana,lakini mwaka juzi ndo niligundua kumbe jamaa ni kilaza wa hali ya juu..