N Ng'wanamigihaJr New Member Jul 30, 2015 2 2 Dec 21, 2016 #1 Suala la msingi tujali uhai wa mtu hata kama hatupendi hoja zake hata kama ni wa chama kingine NA dini nyingine
Suala la msingi tujali uhai wa mtu hata kama hatupendi hoja zake hata kama ni wa chama kingine NA dini nyingine
kemi2011 JF-Expert Member Dec 25, 2013 735 290 Dec 21, 2016 #2 Mungu mpiganie huyu kijana popote alipo Yeyote aliyehusika na kumpoteza, kumharibia ndoto zake au mpango wowote wa aina hiyo, basi laana na iwe juu yake na watoto wake vizazi saba....
Mungu mpiganie huyu kijana popote alipo Yeyote aliyehusika na kumpoteza, kumharibia ndoto zake au mpango wowote wa aina hiyo, basi laana na iwe juu yake na watoto wake vizazi saba....