Ben Ali Rais wa Tunisia Aliyepinduliwa na Nguvu ya Umma Anaumwa yupo Hoi sana

Lasikoki

JF-Expert Member
Jan 10, 2010
640
118
Aliyekuwa Rais wa Tunisia, BEN ALI, 74 ambaye aliachia madaraka kwa kusalimu nguvu na mamlaka ya Umma yupo hoi bin taabani ktk hospitali moja nchini Saudi Arabia alikokimbilia. Inasemekana bwana Ben Ali amepata kiharusi kikubwa (major stroke) na hali yake ni mbaya sana kwa mujibu wa familia yake.

SOURCE:Mwananchi newspaper, 24 Feb

MY TAKE: Habari hizi 'pengine' ni muendelezo wa sala za wakulima na wafanyakazi maskini wa Tunisia wanaopinga Umaskini wao kutokana na sera kandamizi zisizokuwa na uhalisia wa kutosha ktk kuwaletea maendeleo thabiti na uhuru ya kweli.

Hata hivyo hatuna budi kumuombea Mwenyenzi Mungu amponeshe na kumpatia uzima wa Afya!
 
Back
Top Bottom