Belle nine masomange | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Belle nine masomange

Discussion in 'Entertainment' started by Vitendo, Dec 4, 2009.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyu kijana katoa huu wimbo ,ni mzuri sana ila nashindwa kuelewa Maana ya MASOMANGE,mwenye msaada jamani?
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mkuu masogange maana yake ni macho yangu but sijui ni lugha gani hii,labda nikamuulize tena mwenyewe ataniambia
   
 3. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 818
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  HUwa sipendi wa Bongo wakiimba Kiganda kwa kuona kama wanajoipandisha chati, huu mwimbo sijaupenda sababu ya Kiganda humo ndani. Nyimbo niliyo ipenda ya huyu dogo ni inaitwa "Sumu ya Penzi"
   
Loading...