BelindaJ: Tafadhalli!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BelindaJ: Tafadhalli!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Amoeba, Aug 23, 2010.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  C/O Mwenyekiti wa E.K
  Shule ya Msingi Mtakuja
  [​IMG]S.L.P 76
  Makelenge Stendi
  Mpendwa Belinda,
  Kwanza salamu,ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua hii ni kutaka kukuuliza swali moja tu linaloniumiza nafsi yangu, mpaka nashindwa kula wala kulala, nikinywa maji najiona kwenye glasi! Hivi hiyo midomo (lipsi) uliyotumia kama avatar yako inachuruzika vitu gani vile?
  Asante sana, salamu kwa mjomba, Kaka na Bi Mkubwa.

  Wasalaam,


  Amoeba

  BlndJ.jpeg
   
 2. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :rolleyez:
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Vinachuruzika damu ya YESU inenayo mema kulika sadaka ya Abel
   
 4. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  AMOEBA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! yaani umenifurahisha tu.... i knew it must be something funny jut form the title..... mmmm na umenikumbusha mabli yaani when we used to write letters........ hofu na mashaka ni kwenu...duh!!!!! mmmm
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  One day a cucumber, a pickle and a penis were having a conversation: The pickle says, 'You know, my life really sucks. Whenever I get fat and juicy, they sprinkle seasonings over and they stick me in a jar.'

  The cucumber says, 'Yeah you think that's bad? Whenever I get big fat and juicy, they slice me up and they put me over salad.'

  The penis says, 'You think that your lives are tough? Well, whenever I get big, fat and juicy, they throw a plastic bag over my head, shove me in a wet dark, smelly room and force me to do push-ups until I throw up and lose consciousness! ! !'
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mleta mada, weka hiyo avatar ya huyo mdada ionekane hazarani basi!!!!...wengine hatujaona inavuja vitu gani!..huh!
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Huh!!! Amoeba, ni king'arisho cha lips (lipgloss+lipstick) ila hiyo ilizidi wingi ndio mana kama inatiririka mkuu!! si umewahi kuona wadada wanapaka?ila siyo yakudondoka hivi, zingine zinang'aa au kukolea kwenye lips kwa rangi mbali mbali kutegemeana na lips zao!!..kama hujanisoma vizuri nitakuPM nikuelekeze jinsi ya kupaka au kumpaka mamii wako:)ha ha
  Hiyo barua mimi hoi,nakumbuka enzi zile 'mimi ni mzima wa afya, hofu na mashaka juu yako/yenu'..
  Wasalimie Makelenge Stendi..

  Daima,BJ!!
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  ebu tuanze na miye huko PM, Amoeba atakuwa ana do ze nidiful kwenye miili ya watu sasa:becky:
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks the real Brainiac for this thread..

  at least nimepata smile baada ya fululu-fululu za siasa mbovu za nchi yetu!!! those lips are whack!!! You have reminded me enzi za kuandika barua kwenye decorated and perfumed writing pads

  good ol' days
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  haya, check your pm ASAP..Amoeba anataka maujuzi si umeona ile tundiko lake lingine,nitamfundisha na kupaka rangi vidoleni ha ha
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,241
  Trophy Points: 280
  Wooohps!!!Nisiku nyingi S.L.P 60 KYAKA BUKOBA VERY FANTASITIKI AN COCACOLASTIKI!!!!:becky:
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Duh! hapo umenitoa wasi, nilkuwa najiuliza hii kitu gan mama. Ugeni wa mambo haya ndugu, nasubiri PM yako ili unitoe gizani zaidi. senks!
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkuu watoto wa sku hizi wamekosa mambo sana! Enzi hizo ijumaa siku ya kusoma barua parade, mwanaume bila kupata barua yenye bahasha ya pink na maua mekundu Bado hujawa MAARUFU! dU!
   
 14. m

  mramba Member

  #14
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haa!ha!haaaaaaaaa!
  We umenikumbusha enzi za barua za maneno siku hizi zimegeuka sms
   
Loading...