Belgium Edges Closer to Veil Ban! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Belgium Edges Closer to Veil Ban!

Discussion in 'International Forum' started by Buchanan, Apr 22, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Belgium is on the path to becoming the first country in Europe to ban full-face veils worn by some Muslim women. On a warm, sunny morning the Rue de Brabant just north of the centre of Brussels is busy with shoppers. This city, known as the capital of Europe, is a multicultural melting pot and this part of town reflects that well. It is particularly popular with the sizeable Moroccan and Turkish communities which, in turn, make up the bulk of Belgium's half-a-million or so Muslim residents. But now, with the Belgian parliament due to debate legislation proposing a ban, some are asking how far multiculturalism should go. The new law, which enjoys cross party support, would outlaw clothing that obscures your identity - and that would include full face Islamic veils like the niqab or burka. Perhaps surprisingly, the Green Party supports the measure.

  For more news click BBC.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Haya mavazi yanaficha sana magaidi wanaotumia mabomu kujilipua na pia kulipua watu wengine, afadhali wakavalie kwao Uarabuni kama wanaona wanaonewa!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Wewe unapenda mama yako na dada yako watembee matiti mapaja waziwazi?jiulize kati ya anayevaa hijab na asiye vaa ni nani unayeweza kumtongoza kirahisi?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  jamani kwani kutongozwa ni dhambi?...anayetongozwa si ana uwezo wa kukubali au kukataa?
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Big up belgium na hivi kuna wamoroco wengi
   
 6. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,823
  Likes Received: 20,811
  Trophy Points: 280
  Belgium is on the path to becoming the first country in Europe to ban full-face veils worn by some Muslim women

  mkuu wanataka ku-ban full-face veil sio hijab wala magauni marefu.
   
 7. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ingawa haya mavazi huwa hayanifurahishi, lakini nadhani this is totally unconstituional. Unapoona haki za mwenzako zinavunjwa, basi usishangilie, kwani na za kwako pia zitavunjwa bila shaka. Swali hapa ni kwamba, what is next? Ikiwa hizi burqa zinazovaliwa na only 2% of Muslim women in France zinapigwa marufuku, kipi kitafuata?
  Msishangae mtakaposikia kwamba, ladba ni marufuku kwa Waafrika kuvaa "vitenge na Mabazee" kwenye public na ofisi za serikali, ndipo tutakapojuwa kwamba vita kama hizi sio kwa wanawake wakiislam peke yao, bali ni vita kwa Minority groups and Immigrants wote. Anything of non- European kinapigwa vita.
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tatizo la hawa watoto wa mama wa kambo, wakati wote wanawaza tuu ngono ngono ngono, kuibiwa mke kuibiwa mke kuibiwa mke, hata kazi hawafanyii vizuri, wivu mtupu, hata akiwa na wanawake wanne peke yake, bado wivu hadi kwenye kucha. hakuna mwenye shinda na wake zenu, kinachosemwa ni hikii, kuvaa kininja mnaficha nini? sura? halafu nguo zenyewe nyeusiiii kama mzuka, jini? kwani mwamedi alipoletewa ndogo na yule malaika wa giza hakuwashauri walau nguo iwe nyeupe, mbona nyeusi wajameni, wakijitahidi kidogo, kijivu, hukuti nyeupe hata siku moja. wanaficha magaidi, hata osama ana vaa ushungi.

  mbona kama mnaogopa kuibiwa wanawake, wanawake wa kiislam tz ndo wanaongoza kwa umalaya na kupenda ngono. angalia wanawake wa tanga na pwani yooote, hawafai. aliyekwambia uzinzi wa mtu unakaa kwenye mwili ni nani? kwa taarifa yako, uzinzi au dhambi yoyote ya mtu inakaa moyoni, huko ndiko kwenye chemchemi ya kila kitu. hivyo, kama mkeo mzinzi, hata umvalishe ushungi tano, anaweza akamfunika tu huyo mwizi wako hat ausimwone, anaweza kufanya chochote atakacho pamoja na ushungi wake, na hakuna atakayegundua kwasababu wengi watasema amevaa ushungi hivyo hajafanya kitu, na wewe ukirudi home hutagundua.

  mnahangaika, ukienda zenji, hadi sokoni hawataki waende, ati wanaume wa sokoni wasije wakawapenda..hahaha, ukienda kwenye nyumba zao, wameweka geti kali la ajabu, hata mkono haupiti, wanawafungia ndani hakuna kutoka nje hadi watakaporudi home,,,,ndani mle ni kulisha na kufuga majini tu. akitoka nje bila ruhusa, hata kama ananunua askrim tu, atakipata cha moto. kumbe amesahau kuwa kuna machinga wanatembeza nguo wanawapitishia nguo hapohapo home, wengine wasafisha kucha na vidole wapaka rangi, wanawatembelea kwenye mikeka yao bila shida. na siku ukisafiri, anamaliza hasira zoooote. kwa kifupi, mnahangaika na joto lote hili la Dar, kuvaa ushungi ni ushetani tu, wala hakuna mantik yoyote kufamnya mtu awe na adabu. wanaokufa kwa ukimwi zaidi hapa bongo mbona ni nyie wenyewe wenye wake watatuwatatu....duh!
   
 9. m

  mwanamilembe Member

  #9
  Apr 23, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wanaona wanaonewa si waludi kwenye nchi zao za asili, Huko Saudi huwezi ona Kanisa lakin waondio huwa wa kwanza kulalamika kwa kuandamana kutaka kujengwa kwa mamisikiti ulaya. Yaani hawa jamaa kwa double standards siwawezi.
   
 10. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yea ni kweli, kama wanaona wanaonewa, warudi kwaoooo, wakavae kininja, huko wanajuana wao kwa wao, si kwamba wanakuwa wahamiaji harabu halafu wanajifanya kulazimisha mambo kwenye nchi isiyokuwa ya kwao ving'ang'anizi hao, na wabishi, wagumu kuelewa hata ukijaribu kuwaelewesha vipi. kidogo tu, wanatangaza jihad sasahivi. yaan hawa jamaa halafu hautakiwi kuwagusa, ukumgusa tu, jihadi. sasa siwangekuwa na dunia ya kwao tu basiii, angalia ndugu yao Gadafi anachofanya for Switzerland just because switzerland walimuarrest mtoto wake kutokana na kukiuka sheria za uswiss, yeye tayari ameshatangaza jihad na kuhamasisha jihad dhidi ya waswiss, na anahamasisha waislam wote wafanye hivyo, na wenyewe wanamsikiliza tu....ajabu sana.
   
 11. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  unconstitutional according to which constitution mzee, constitution ya ubelgiji au constitution yakwako wewe hapa tz. do you know what you are talking about, unaijua katiba ya ubelgiji wewe? kuhusu vitenge na waafrica, haiwezi tokea, vitenge ni tofauti kabisa na ninjaninja aka ushungi. ushungi kwanza uko connected na dini ya kiislam ambayo wanaruhudu jihad, pili uislam umeshakuwa spoiled dunia nzima hata ukijitaja tu jina lako la kiislam nchi za magaribi hawakuamini kabisa. wanajua unaweza kufanya lolote. sasa ikitokea tena unaficha uzo wenzio hawakuoni, wanakuogopa, wanaishi kwa mashaka mtaani kwasababu yako kwenye nchi yao, kwanini? don't you think kama unaongelea huo uconstitionalism, ni fair kwa wabelgiji kuishi kwa mashaka bila raha wakiwa wanawaona watu walioficha nyuso zao mtaani? na hapohapo wakiwa na kumbukumbu ya yale yanayotokea nchi za kiislam? kwanini wabelgiji na watu wengine wa ulaya waishi kwa mashaka kwasababu tu ya hawa maninja wachache?
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Apr 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hongera Ubelgiji, pia Ufaransa kwa kukataa unafiki!
   
 13. Mgeninani

  Mgeninani Senior Member

  #13
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No wonder mohamedi sent to Arabians hao jamaa kujilipua wao, kukata vichwa wao, ndogo wao hata hili la wake wengi ukisoma msaafu vizuri utagungua hakuna mwanadamu anayeweza wanalazimisha vitu tu.
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Apr 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  sure!
   
 15. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,823
  Likes Received: 20,811
  Trophy Points: 280


  mkuu hizi serious accusation,maybe una evidence/stats,i dont know but otherwise ni PREJUDICE BIN HATRED.

   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  Apr 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Usije ukajikuta na wewe unaendeleza accusation kabla ya kusubiri upewe evidence!
   
 17. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,823
  Likes Received: 20,811
  Trophy Points: 280
  kigumu kuelewa hapa ni nini?

  kauli yangu:mkuu hizi ni SERIOUS ACCUSATION,maybe una evidence/stats,I DONT KNOW OTHERWISE NI PREJUDICE BIN HATRED.

  neno maybe na otherwise hayajatumika just for sake of making my sentence longer.
  RESPECT.
   
 18. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #18
  Apr 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hivi haya mavazi na joto lote la dar wanamudu vipi? Au ndo wanasema 'personality has no weather?'
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Apr 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Joto la Dar wanalimudu vipi hawa watu? Au ndio kama wanavyosema 'personality has no weather?'
   
 20. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi kuna haja ya evidence kwenye hili? nenda nyumba zao uone geti kali na watu wanavyoungua na joto ndani hata hawaruhusiwi kutoka.hao wanaotoka wanaambiwa ni watu wasiopenda dini...naungana na mchangiaji ubungo...
   
Loading...