Belarus yawekewa vikwazo baada ya kulazimisha ndege itue na kumkamata Mwandishi wa Habari

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuwekwa vikwazo dhidi ya Belarus kufuatia tukio la Ndege kulazimishwa kutua ili kumkamata Mwandishi wa Habari mwenye aliye na mrengo wa Upinzani.

Roman Protasevich alikuwa kwenye ndege kutokea Ugiriki kwenda Lithuania ambayo ililazimika kutua Mji Mkuu wa Belarus, Minsk ambapo alikamatwa.

Viongozi wa EU wamezuia Ndege za Taifa hilo katika anga la Ulaya. Pia Mashirika ya Ndege ya Umoja huo yameelekezwa kutotumia anga la Belarus. Vikwazo zaidi ya Kiuchumi vinatarajiwa kuwekwa.
=====

The EU has decided to ban Belarusian airlines from European skies after a flight was diverted to Minsk on Sunday and a dissident journalist arrested.

At a meeting in Brussels, the leaders of the 27 member states also told EU airlines not to fly over Belarus, and promised further economic sanctions.

Roman Protasevich, 26, was on a flight from Greece to Lithuania which was rerouted over a supposed bomb threat.

Western countries accused Belarus of "hijacking" the Ryanair plane.

A video has now emerged of Mr Protasevich that appears to have been recorded under duress since his detention at Minsk airport.

In the clip, which was released late on Monday, the journalist said he was in good health and seemingly confessed to crimes he had been charged with by the Belarusian state.

But activists, including the country's main opposition leader, criticised the video and suggested Mr Protasevich was under pressure to admit wrongdoing.

US President Joe Biden described the actions of the Belarusian authorities as "outrageous", saying they were "shameful assaults on both political dissent and the freedom of the press".

Mr Protasevich's father has told the BBC he fears his son may be tortured.

Dmitri Protasevich said on Monday he was "really afraid" of how his son would be treated by the authorities in his home country.

"We hope that he will cope. We are afraid to even think about it, but it's possible he could be beaten and tortured. We are really afraid of that," he said in a video call.

"We are really shocked and really upset," he said. "This sort of thing shouldn't be happening in the 21st Century at the heart of Europe.

"We hope that the whole international community, including the European Union, will put unprecedented pressure on the authorities. We hope the pressure will work and the authorities will realise they've made a really big mistake."

How did events unfold on Sunday?

Belarus sent a fighter jet to force Ryanair flight FR4978 - which had departed from the Greek capital, Athens, and was bound for Vilnius in Lithuania - to land, claiming there was a bomb threat. It touched down in the capital Minsk at 13:16 local time (10:16 GMT) on Sunday.

Police then took Mr Protasevich away when the plane's 126 passengers disembarked. The activist, who witnesses said was "super scared", was arrested along with his girlfriend Sofia Sapega.

Ms Sapega's mother told the BBC that the 23-year-old had been taken to a Minsk jail, adding that the last word she managed to write on her WhatsApp messaging account was 'Mummy'. The accusations against her are unclear.

Belarus is the only European country that still executes prisoners, and witnesses said Mr Protasevich told fellow passengers he feared he would face the death penalty.

Three other passengers did not reach the plane's final destination in Vilnius. Ryanair chief executive Michael O'Leary said he believed some Belarusian KGB agents also departed the plane at Minsk, but this has not been independently verified.

Belarus said the flight had been diverted because of a bomb threat from the Palestinian militant group Hamas. A senior transport official read a letter to reporters that he claimed was from the militant group.

"If you do not fulfil our demands, the bomb will explode over Vilnius," it said.

But Hamas has denied any involvement. The group has no history or known capability of mounting operations outside Israel and the Palestinian territories. German leader Chancellor Angela Merkel said the Belarusian claim was "completely implausible".

Source: BBC
 
Umoja wa ulaya njooni huku kuna watu wameua watoto na wazee kwa kisingizio cha kupiga manati,
Au hamuwaoni? Mumevaa mawani ya mbao?
Double standard
 
Habari wadau.

Nimecheka Sana na kushangazwa na tukio la Nchi ya Belarus kuiteka nyara ndege ya abiria mali ya kampuni ya Ryanair iliyokuwa inatoka Ugiriki kwenda Lithuania kupitia anga la Belarus.

Rubani alielekezwa kwamba kuna hatari ya kigaidi na kutakiwa kushuka Minsk huku ndege hiyo ya abiria ikisindikizwa na ndege ya jeshi.

Ilipotua walizuga kwa kuanza upekuzi huku lengo kuu ni kumkamata kiongozi wa upinzani ambae amekuwa akihamasisha maandamano kwa njia ya mitandaoni ya kijamii nchini humo.

Bw.Roman Pratasevich alikuwemo kwenye ndegi hiyo na baada ya upekuzi alichukuliwa na ndege kuruhusiwa kuondoka.

Jamii ya kimataifa imelaani tukio hilo ikiwa ni pamoja na kuzipiga marufuku ndege za Belarus kwenda mataifa ya Ulaya na kuzuia mashirika yao kwenda nchi hiyo.

Dunia vituko haviishi.
 
Inanukumbusha utawala wa FASHISTI NDULI MWENDAZAKE A.K.A KAYAFA
 
Maaamaaaeeeh! Unafiki unafiki tu, kwanini NATO hawakutuma nao, fighter jets zao, zikaisindikize??
Walijua nini kinaendelea na walikisapoti.

Kina Puleshenko, madikteta wababe SANA, halafu clip waliyomrekodi, na black eye, anakiri polisi wanamtunza vizuri..haa haa haa!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom