Beki za kilimanjaro zinastahili pongezi

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
176
TUNASTAHILI KWAPONGEZA JUMA NYOSO NA KELVIN YONDANI pia na MWASIKA plus nahodha. Tuache u simba na yanga, kweli beki zilitulia kuanzia siku ya uganda, kwazibiti kabisa uganda kama Emma Ukwi. Kweli kama hawa vijana umri wao bado una range 20 - 26 wanafanye mazoezi asbh, mchana na jioni watayaona matunda.

Hongera Stars, Kikubwa sasa kocha wetu ashugukie striker hatuna kabisa???
 
Ni kweli kabisa mkuu ukimwongeza na cannavaro tutakuwa tunatisha kwenye defense issue ni mfungaji na mie binafsi mchezaji wangu wa mashindano ni kisiki Stephano mWASIKA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom