Beki ya Juventus Daniele Rugani aambukizwa virusi vya corona

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
28,103
80,940
Vipimo vimeonesha jamaa ana corona, klabu yake imethibitisha.

======
Juventus v Brescia Calcio - Serie A

Juventus and Italy international defender Daniele Rugani has tested positive for the coronavirus (COVID-19) and is 'currently asymptomatic'.

The 25-year-old, who has started just three of Juventus' matches this season in Serie A and seven in all competitions, has found himself on the bench for the majority of the campaign so far this season.

The Turin-based club announced the news this evening on their official website following his diagnosis.

“The footballer, Daniele Rugani has tested positive for Coronavirus-COVID-19 and is currently asymptomatic,” read a statement.

“Juventus Football Club is currently activating all the isolation procedures required by law, including those who have had contact with him.”

Rugani was part of the squad that beat title rivals Inter Milan 2-0 behind closed doors on Sunday at the Allianz Stadium, and posted on Instagram following the dressing room celebrations after the game.

Maurizio Sarri's side had a training session earlier today, which now means the Italian manager, his backroom staff and players have been put into quarantine.

The Italian government have suspended all matches in Serie A until April 3, and Juventus were set to face Olympique Lyonnais in the Champions League next week, which will now most likely be suspended. Meanwhile, the Italian football federation (FIGC) confirmed on Tuesday that the Serie A season might not conclude due to the outbreak.

The coronavirus, which has so far struck over 12,000 Italians, killing 827 people is continuing to spread not just in Italy, but across the globe and people are reminded to take appropriate precautionary measures, such as washing hands thoroughly, as well as wearing face masks and gloves to stay protected.

Rugani, who joined Juve from Empoli in 2015, is the first Serie A player to be diagnosed with the coronavirus and an extra 196 fatalities were registered over the last 24 hours alone in the country. Hannover 96 defender Timo Hubers currently remains in quarantine and became the first footballer to contract the virus.

Following the announcement, Juve winger Federico Bernardeschi claimed he was going to self-isolate himself in the Juventus hotel to ensure his family remain protected following the spread of the virus.

Source: Forbes
 
Coronavirus: Beki wa kati, Daniele Rugani akutwa na virusi , wachezaji wa Arsenal wajiweka karantini

Daniele Rugani
captionDaniele Rugani alishiriki katika mazoezi katika uwanja wa Juventus siku ya JumanneJuventus imetangaza kwamba beki wa kati wa Italia Daniele Rugani amekutwa na virusi vya corona.

Klabu hiyo ya ligi ya Serie A imesema kwamba imechukua hatua zote za kumtenga mchezaji huyo zinazohitajika kisheria ikiwemo kuwashirikisha wale ambao waligusana nayeKlabu hiyo imeongezea kwamba Rugani mwenye umri wa miaka 25 kufikia sasa hajaonesha dalili za ugonjwa huo.

Michezo yote nchini Italia imeahirishwa hadi Aprili 3 huku taifa hilo likijiweka katika karantini kutokana na mlipuko huo wa coronavirus.

Rugani ameichezea klabu yake mara saba pekee msimu huu na hakutumika katika mechi ya Juventus dhidi ya Intermilan ambayo klabu hiyo iliibuka na ushindi wa 2-0 katika mechi iliochezwa bila mashabiki siku ya Jumapili.



View image on Twitter


Mechi ya Inter iliotarajiwa kucheza dhidi ya Getafe katika michuano ya Europa siku ya Alhamisi pia imeahirishwa.
Rugani ameshinda mataji manne ya ligi ya Italia akiichezea Juventus na aliichezea Italia mara saba, mara ya mwisho ikiwa 2018.

Siku ya Jumapili alichapisha picha mtandaoni katika chumba cha maandalizi cha Juve akisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya Inter pamoja na wachezaji wenzake.

Italia imerekodi visa 12,000 vya maambukizi na vifo 827 kutokana na virusi hivyo.
Wakati huohuo mechi kati ya Arsenal na Manchester City imeahirishwa baada ya kuwepo kwa hofu ya virusi vya corona, huku baadhi ya wachezaji wa Arsenal wakiamua kujitenga baada ya mmiliki wa klabu ya Olympiakos Evangelos Marinakis kupatikana na virusi hivyo.

Arsenal inasema kwamba Marinkis mwenye umri wa miaka 52 alikutana na baadhi ya wachezaji wake wakati Arsenal walipokuwa wenyeji wa mechi na klabu hiyo katika kombe la Europa wiki mbili zilizopita.
Marinakis

Marinakis ambaye pia anaimiliki klabu ya ligi ya daraja la kwanza nchini England Nottingham Forest alisema siku ya Jumanne kwamba amepatikana na virusi vya corona.

Arsenal inasema kwamba baadhi ya wachezaji wake walikutana na mmiliki wa klabu hiyo ya Olympiakos.
''Ushauri wa kimatibabu tuliopatiwa ni kwamba tayari wachezaji hao wapo katika hatari ya kupatikana na virusi hivyo , hivyo basi tumewataka kujitenga kwa muda wa siku 14 kutoka siku waliogusana na Marinakis.

Ni kutokana na hilo kwamba wachezaji hao hawatashiriki mechi iliopangwa kuchezwa dhidi ya Man City na ligi ya England imeamua kwamba mechi hiyo iahirishwe kwa mara ya pili. Wachezaji hao watajitenga kwa siku 14 ''.
Wafanyakazi wanne wa Arsenal ambao walikuwa wameketi karibu na Marinakis wakati wa mechi hiyo pia watasalia nyumbani hadi siku 14 zitakapokamilika.
 
Yaan hii kitu inawezekana ikaondoka hata na raisi kimasihara afadhari hata ukimwi kuliko hii kitu maambukizi yake unapata pasipo kutarajia.
 
Game 2 za europa

Sevilla vs roma na ya inter millan hazichezwi leo
 
Leicester city, kuna wamesema kuna wachezaji wao wa3 wameonesha dalili za corona.
 
Leicester city, kuna wamesema kuna wachezaji wao wa3 wameonesha dalili za corona.
Mhhh hawa Leicester city si wamecheza na Samatta juzi? Duu nawaza tu kama kijana wetu atakuwa salama daah 🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Manolo gabbiadini, striker wa zamani wa southmpton na sasa sampdoria na amekutwa na corona.
 
Mhhh hawa Leicester city si wamecheza na Samatta juzi? Duu nawaza tu kama kijana wetu atakuwa salama daah ‍♂️‍♂️

Mungu amuepushe, hawajawataja ni wachezaji gani,

Mungu amuepushe, hili janga ni zito.
 
Nyota wa Real ndani ya Karantini.
Wachezaji wa Real Madrid wamehama kambi ya klabu hiyo na kurejea nyumbani huku wakiwa chini ya uangalizi wa hali ya juu kwa siku 15 kwa sababu ya Virusi vya Corona.
Hii inakuja baada ya mmoja wa wachezaji wa Real Madrid kwa upande wa timu ya kikapu kugundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona huku kukiwa na muingiliano mkubwa kati ya Timu hizo mbili ( timu ya Real Madrid ya mpira wa miguu na timu ya Real Madrid ya kikapu ) kuanzia viwanja vya mazoezi na sehemu nyingine.
Mpaka sasa viwanja vyote vya mazoezi vya Real Madrid vimefungwa huku wafanyaki wote wa klabu hiyo wakiwa katika uangalizi maalumu kutokana na janga hilo la Corona.
Ikumbukwe pia mechi za Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) zimesimamishwa kwa muda wa wiki mbili
 
Following the quarantine imposed on players of Juventus and Real Madrid CF, the following UEFA Champions League matches will not take place as scheduled.

“UEFA Champions League, Round of 16:

“Manchester City FC – Real Madrid CF, 17 March, 21:00CET

“Juventus – Olympique Lyonnais, 17 March, 21:00CET

“Further decisions on the two matches will be communicated in due course.”

It remains to be seen what will happen with Napoli’s proposed trip to Barcelona, while in the Europa League Sevilla-Roma and Inter-Getafe have already been postponed.

UEFA are expected to suspend the entire tournament after Tuesday’s summit, but otherwise most Europa League fixtures are going ahead as planned today.

There was no choice when it came to two Champions League fixtures, as Juventus and Real Madrid squads are under quarantine for 14 days.

In Juve’s case, it’s because defender Daniele Rugani tested positive for Coronavirus, while a Real Madrid basketball player who uses the same training facilities as Zinedine Zidane’s men also has COVID-19.
 
Manchester City’s UEFA Champions League fixture at home to Real Madrid has been postponed.

The decision to postpone Tuesday’s game was made in conjunction with UEFA and follows confirmation that players from Real Madrid will self-isolate for fifteen days, after it emerged that a player from the club’s basketball team tested positive for COVID-19.

The Club sends it best wishes to the players and staff at Real Madrid’s football and basketball teams.

Further information regarding the rescheduled date and related ticketing information will follow in due course.

LaLiga has already been suspended as has the NBA, Serie A, EuroLeague and various other events around the world.
 
It was announced today that UEFA were organising a summit via video conference with representatives of the 55 members associations, boards of the European Club Association, European Leagues and FIFPro to discuss “European football’s response to the Coronavirus outbreak.

L’Equipe claim one decision has already been made, as UEFA are expected to announce that Euro 2020 will become Euro 2021.

The tournament is due to kick off in Rome on June 12 with Italy-Turkey, but it’s almost impossible for the various domestic seasons to conclude by then with all the postponements.

It seems inevitable at this point that Euro 2020 will have to be delayed and, seeing as it is a travelling tournament based in several different countries around Europe, it’d be wise to postpone it until next summer.

However, when it comes to the Champions League and Europa League, UEFA are allowing this evening’s games to go ahead.

According to Sky Sports UK, UEFA will propose changing the remaining two-legged ties into one-off matches to save time, which could be played on neutral turf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom