BEKI 3 aleta maafa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BEKI 3 aleta maafa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eeka Mangi, Nov 8, 2010.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Da shida sana. Jana tumechoka sana tulikuwa na kesi ya mshikaji wangu fulani hivi.
  Mke wa huyo rafiki yangu kamshitaki mr kuwa amemdoo HG wao. Mama alikuwa kwenye kampeni kwa kipindi kirefu hivyo mzee akawa anarudi home mwenyewe kila siku. Kwa kusema ukweli hakukataa kuwa alimdoo ila alisema kuwa uvumilivu ulimshinda akafikia kufanya na huyu binti. Mkuu anasema kuwa huyu binti alimpa mchezo ambao umemwaribu akili. Akaendelea zaidi kwa kusema hata wazee walioko hawataweza kuvumilia wakiona hilo tunda changa. Si wazee wakasema huyo HG yuko wapi. Mama mwenyenyumba akaenda kumwita bwana! We acha utani binti ni mzuri ile mbaya! hapo kati ya kichwa na miguu mashallah aahhh asikwambie mtu bwana. Jamaa akamalizia SASA WAZEE WANGU HUYU BINTI AKUVALIE KANGA MOJA AKUFUNGULIE MLANGO USIKU NA WEWE UNAHITAJI HUDUMA YA MAMA NA HAYUKO UNAFANYAJE? Wazee wakakaa kimya mwisho wakamwambia USIRUDIE TENAKULA HAPO! Mzee kanambia liwalo na liwe ila haachi hii kitu. Yuko tayari hata mama anataka kuondoka wacha iwe tu. Jamaa anajiandaa kufata mzigo hukohuko kijijini.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nimependa huo ushauri - Yaani jamaa ameruhusiwa rasmi kuoa HG? Hawa wazee wa wapi?
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pale KRT baba
   
 4. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anahitaji maombi huyo baba
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahahha polen
  -kapewa mchezo uliomwaribu akil siyo?alivaaa kinga?
  lakin km jamaa amekiri basi poa mama amsamehe tu baba na wampime hg km ana mimba ama lah iliwajue jins ya kumsaidia
  - hg pia aulizwwe km anampenda bab au alifanya kwa kulazimishwa au alitoa mzgo kwa kuogopa uyu ni boss wangu....
  -hg arudishwe aliokotoka
  BT KM KAADMIT BAS BABA ASEMEHEWE cz ata km mama akikomaa kununa haisaidii kwan uko kooooooote jamaa anakochapa mama anajua?basi ni jambo la kusameheana tu....ila km akiona wanaendelea bado iyo ni kashda nyingne tena
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ha Jamaa ka declare kuwa haachi hata iweje. HG hata wakati anaenda kupelekwa stendi hakuwa na hata wacwac. Hilo la kinga cjui ila jamaa ndo keshakolea anasema mama aendelee na siasa tu hamna taabu.
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Haya ni matunda na athari za kampeni.........................Hata huyo mke wake hatujui huko mbugani yalimkuta yapi....................
   
 8. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Afadhali muda ule mahausigeli walivokuwa wanatoka Iringa/Mbeya hawa wa Singapore(Singida) wameleta balaa nyumba nyingi,vitoto vyeupe shepu balaa na sauti usiseme.
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Aaah Diana.....................SINGAPORE ni braaaaaaaaaa! Yaani nyie acheni tu! mimi nimeamua kuipiga stop hamna kuleta Beki 3 home!...........I love my wife bana!:smile::smile::smile:
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda kweli hiyo
   
 11. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Dawa sio kupiga stop b3 bali kumleta aaafu ushinde vishawishi. Ukiweza kuhimili basi ndo tataamini unampenda Waziri wako.
  Kuna wakati cc wanaume hatuwapendi wake zetu ila tunawaogopa na zaidi kuheshimu ndoa zetu.
   
 12. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2010
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama shepu ndio tatizo, watafutwe wasichana wenye shepu mbaya.
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaaa beki 3 unanipa raha sana
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kumbe na wewe unawapendagaeeeeeeeeeee. naskiaga watu wakisema
   
 15. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  BOLD..When nature and reality outpower wisdom.......inabidi upotezeee tu...!!
  RED.... No comment
   
 16. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  maskini **** zanguuuuu.....
   
 17. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Afu............ Rosie ... sikuhizi mmekuwa na mawazo kwamba tunachapo hovyo kila mahali, hapa si umeona mwenye, huko kwenye kampeni
  si unajua mambo yake .............. mzigo lazima uchabwe mheshimiwa akiuhitaji
   
 18. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kweli masikini hana haki hapa duniani, yaani mtoto wa watu kachezewa tena pengine kwa kubakwa, halafu mwisho wa siku mnamrudisha KIJIJINI utafikiri yeye ndio mwenye makosa. Ee Mungu sikiliza kilio cha ma-house girl na watoto hawa waliokosa fursa ya kuendelezwa! Na nyie wazee mnaofanya huo ufirauni, si muende kwa machangu mbona wako wengi tu na siku hizi kwa kuwa supply imeongezeka price nayo imeshuka sana, kuna mpaka wa bao moja sh. 500 sasa shida iko wapi?
   
 19. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasema zafanana lakini wee msikilize huyu babu kwenye red. Mapishi tofauti au matumizi??
   
 20. b

  bwanashamba Senior Member

  #20
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ewe mangi neewe kweifo yo moondu nyeto lyo
   
Loading...