Being Part Of The Solution: Mr.President Siku 100 Za Kwanza!

Apr 27, 2006
26,588
10,374
- Wakuu heshima mbele sana, sometimes ni vyema tuka-pose mashambulizi na kutoa soulution. Najua JF ni vichwa sana na sio mchezo inapokuja kwenye siasa na uongozi wetu wa taifa, sasa hebu tuone iwapo tutapewa Urais wa Tanzania leo ni nini tutafanya tofauti na sasa, na ni nini kinatakiwa kufanywa for just the first 100 days in the office angalau kuanza kulipeleka hili taifa letu kunapotakiwa?

- Halafu nini so far makosa ya Rais wa sasa ukianzia na alipoichukua hii nchi? Sometimes ni vyema tukawa a part of the solution!

Respect.


FMEs!
 
- Wakuu heshima mbele sana, sometimes ni vyema tuka-pose mashambulizi na kutoa soulution. Najua JF ni vichwa sana na sio mchezo inapokuja kwenye siasa na uongozi wetu wa taifa, sasa hebu tuone iwapo tutapewa Urais wa Tanzania leo ni nini tutafanya tofauti na sasa, na ni nini kinatakiwa kufanywa for just the first 100 days in the office angalau kuanza kulipeleka hili taifa letu kunapotakiwa?

- Halafu nini so far makosa ya Rais wa sasa ukianzia na alipoichukua hii nchi? Sometimes ni vyema tukawa a part of the solution!

Respect.

FMEs!

Mkuu kitu kikubwa cha kwanza ni kuteua nafasi mbali mbali za uongozi kutokana na merit na siyo kwa sababu ya kujuana. Kitu kikubwa sana ninacho ona kina tuumiza sisi ni watu kuteuliwa hata kama nafsi fulani hawafai. rafiki una saidia katika siasa na kupoza katika uongozi. Hili mimi ndiyo naona linge kuwa solution ya kwanza na hapo hapo ndiyo kosa la kwanza la raisi wetu.
 
Mkuu kitu kikubwa cha kwanza ni kuteua nafasi mbali mbali za uongozi kutokana na merit na siyo kwa sababu ya kujuana. Kitu kikubwa sana ninacho ona kina tuumiza sisi ni watu kuteuliwa hata kama nafsi fulani hawafai. rafiki una saidia katika siasa na kupoza katika uongozi. Hili mimi ndiyo naona linge kuwa solution ya kwanza na hapo hapo ndiyo kosa la kwanza la raisi wetu.

- Mkuu wangu tunakupa nchi kwa sababu umeshinda uchaguzi na hao hao marafiki kama wa Rais wa sasa, ni nini ungefanya tofauti na Rais wa sasa na hawa marafiki waliokusaidia kushinda uchaguzi?

Respect.


FMEs!
 
- Mkuu wangu tunakupa nchi kwa sababu umeshinda uchaguzi na hao hao marafiki kama wa Rais wa sasa, ni nini ungefanya tofauti na Rais wa sasa na hawa marafiki waliokusaidia kushinda uchaguzi?

Respect.

FMEs!

Mkuu tatizo ndiyo hilo kwamba kuna watu ambao wapo tayari kupata wanacho kitaka by any means. Ndiyo maana kuna watu wana dhulumu hata kuua just in order to gain money. So hata JK mwenyewe inaelekea aliutaka uongozi by any means possible hata kutumia kikundi kikubwa cha marafiki.

This is my opinion based on my understanding. JK yeye sidhani kama alikua fisadi kama wengine(hata kama alikua but not to the extent of others, na hii naongelea 2005). So kwa sababu hakua na mabilioni ya kumwaga na since aliutaka uraisi by any means possible ndiyo maana akatumia marafiki matajiri sana kutumiza adhma yake ya kuwa raisi. Maybe yeye kwa akili yake alifikiria kwamba marafiki zake wanampa support kumbe wao walikua wana wekeza kupitia kwake.

So kutokana na kupewa pesa nyingi za kushindia uchaguzi alipo pata uongozi alibidi alipe hizo fadhila na ndiyo kisa cha kujaza watu kutokana na kujuana.

With that said, going back to your scenerio, mim siyo mtu ambae ninge taka raisi by any means possible. So nisingeweza kuingia kwa gia ya JK. Mimi kama mtu mwenye upeo wa kuona mbali lazima ningejua kwamba hamna kitu kama free lucnh duniani so ningejua hao washikaji wange taka kitu huko mbeleni, tena kikubwa kwa jinsi walivyo wekeza kwangu. So since mimi sitaki uraisi kwa njia yoyote ninge jikalia pembeni.

Siku zote mwanzo mbaya hauwezi kuwa na mwisho mzuri. First mistake ya JK ni jinsi alivyo pata uraisi. Mimi nisinge tumia njia yake thus kuavoid kabisa the scenerio he is in.

Lakini if I was JK right now I would do the right thing & not run for a second term kama naona siwezi kuavoid kushinda bila marafiki hao. If I was JK huu ndiyo ungekua muda wa kubuild the biggest legacy na hiyo ni kuachia madaraka baada ya term moja tu. Nadhani raisi pekee Africa ninaye mjua kaachia madaraka baada ya term moja ni mzee Mandela na angalia heshima yake livyo juu. Hiyo mbeleni najua inge nijengea heshima kubwa sana na ninge set precident moja nzuri sana kwa taifa letu.
 
Katika siku 100 za kwanza mnatakiwa kufanya mazuri yaliyotajwa humu:

One year on in Tanzania: A false start

Issa G Shivji

2007-01-04, Issue 284

President Jakaya Mrisho Kikwete came to power on a populist vote. Wamachinga, the semi-employed and unemployed youth of Dar es Salaam symbolized his populist support. He promised them one million jobs.

Kikwete's first task was to convert his populist support into a popular support. Populism is fragile; it is ambivalent and can go in either direction, progressive or reactionary. In a country like Tanzania with over 12,000 villages, in which live some 80 per cent of the population, mostly smallholder peasants, converting populism to popularity means establishing a close rapport with village communities.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere did have such rapport but it was top-down, paternalistic. Mwalimu did not see peasants as an agency for change; peasants could not bring about change, rather he saw change being brought to them. Edward Moringe Sokoine had a developmental conception of the village. Sokoine saw the village as a harbinger of self-reliant, national development and the peasant (a rich peasant?) as an agency of change. Whatever the differences, there was one fundamental thing common to them. Both men were persons of unimpeachable personal integrity, which endeared them to the masses and strengthened them against pressures from local reactionary and foreign imperialist forces.

A fourth phase president who would make a difference would have had to combine the popular rapport of a Kambarage with the sober developmental vision of a Moringe. We therefore needed a JMK. In his first year, I envisioned President Kikwete in khaki perched on a landrover conversing with villagers, visiting even those villages where they still think Nyerere is the president. It was not to be. Instead, we found the President jet-trotting to foreign lands, including the most hated bullies of this world, chasing ‘development'. If investors needed to be charmed, that could well have been done by his charming Prime Minister. But JK needed to be in the country to transform himself into a JMK.

While the populist support was not converted into a popular support, worse, within one year the President lost even his populist support, thanks to his short-sighted lieutenants who mercilessly chased away Wamachinga thus piling up the numbers of unemployed. Now the President will have to create not one million, but perhaps 1.4 million jobs to accommodate the former Wamachingas!

The Cabinet

The ‘who's who' in the cabinet would give a signal of the President's direction. In the people's perception, the previous vigogo had indulged in an orgy of self-enrichment, ujasiriamali. They could not name names in public for fear of being persecuted by the State but in their palavers - majiweni and mabarazani - they could tell you who owned what and how he/she got it. The tip of the iceberg was an utterly inexplicable sale of government houses.

True, Mwalimu's leadership code was killed and buried in Zanzibar by Mzee Ruksa. What we did not know then was that it was a signal to forsake even elementary political ethics. In the second half of the third phase government the neo-wabenzi, against whom the leadership code was promulgated in the first place, went berserk, holding directorships in companies, sometimes in the very sector under your ministry; awarding tenders to sons, and cousins and girlfriends; accumulating real estate; having a finger in every business pie, fair or foul, and much more. People were not only disappointed with this type of ujasiriamali, they were simply disgusted - and despaired.

People expected a messiah in JK who would deliver them from the orgy of self-enrichment. They expected him to signal a different direction by, at least, choosing into his cabinet people of unquestionable personal integrity. As a symbolic gesture he would have perhaps declared that those who took government houses had disqualified themselves from the potential pool of ministers. That alone would have sent a signal that he meant business, that he was truly a man of the people. And Kikwete could have done it; he was riding on a wave of 80 per cent vote. For reasons best known to him and his advisers, the president rubbed salt into the wound by announcing that he too had "bought" a government house!

CCM appointments

The 2005 nomination process of the presidential candidate within the CCM was one of the worst in the party's history. Politics of ethnicity and race were freely deployed; the amount of money used could have only come from slush funds provided by tycoons; factional fights and intrigues abounded. Many felt in their bones that the party could crack. That did not happen. But the party came out of elections more fractionalized than it had entered it. Any farsighted leader of a political party in that situation had two major tasks.

First, to cement the party with a vision and a programme transcending factions and primordial prejudices. Second, to re-establish the integrity of the party and its leadership. Two party posts would be germane to this double-task, the post of the secretary general and that of the treasurer.

The party cried out for a sober organizer as the secretary general, not a cheer-leader used to haranguing people as if they were some empty tins fit only for making noises. It called for a treasurer who would be absolutely above board and known for his/her personal integrity, who would not compromise in matters of money. Again, the chairman did not measure up to the expectations in his party appointments.

Social and economic development

One year is not long enough to assess the developmental performance of a regime. But it is long enough to gauge its developmental direction. In this case, the fourth phase government seems to have decided, either consciously or by default, to stay the course. The course was set by the Mkapa regime: mindless privatisation and marketisation of the economy, including privatisation of strategic sectors, for example, finance and insurance; commodification of public goods and services, for example, land, water, energy, health and education and ruthless and unregulated exploitation of resources by multinationals – minerals, timber and forests and other bio-resources.

The experience of mining companies and the fiasco of privatized management in the water and electricity should have made the fourth phase government to revisit the course rather than stay it. The current power crisis, whose origins could be traced to the scandalous IPTL deal and equally scandalous imposition of Net Group management by force (remember that FFU accompanied the South African management when taking over TANESCO offices against resisting workers!), has been made worse by the outrageously scandalous Richmond saga. The credibility of the regime has hit rock-bottom, and the president's studious silence only helps to feed the rumour mills of Dar es Salaam.

After some twenty years of the neo-liberal direction of the economy, one would have thought that the new government would have made a sober assessment in the light of its own experience and the experience of other countries, particularly Latin America where neo-liberalism has been discredited to the boot. Instead, we have accepted to be part of the perverted logic of IFIs (International Finance Institutions) which attributes lack of success to insufficient reforms – so reform is the only industry that shows exponential growth rates! When shall we be done with reforms?

Space does not allow going into details. But the least that is expected is that we seriously revisit our development paradigm. Are Mkukuta and Mkurabita serious developmental programmes? Which country has reduced poverty by cash transfers without developing the economy? And where is an example of success of De Soto's Mkurabita?

Foreign policy

If there is one area where both the third and fourth phase governments have shown utter lack of appreciation of the world situation, it is in the country's foreign alignments. True, there is only one superpower but that does not mean one has to go into its armpit. This superpower is a vicious military power with a clear military design on Africa. It is therefore very difficult to understand Tanzania accepting to send a brigade to Lebanon and co-sponsoring the US-authored UN resolution for intervention in Somalia. The design of the US on the Eastern seaboard is clear – to string it with military bases from Djibouti through Somalia and Dar es Salaam to Durban. Tanzania is one country which has a relatively stable polity and the lingering Nyerereist legitimacy in Africa. Its landmass connects the Indian Ocean to the heart of rich Africa, the Democratic Republic of Congo. For these and many other reasons, US eyes Tanzania. It is surprising therefore that instead of keeping safe distance, our leadership goes out of its way to court this dangerous military octopus.

It is school-boyish to think that non-alignment does not make sense in the unipolar world. It makes more sense today than ever before. Remember Bush has drawn the line – you are either with us or with the "terrorists", which means anyone who is against US foreign policy. Under these circumstances, non-alignment means ‘we are neither with you nor with the terrorists!'

By the same token, it is again surprising that Tanzania is increasingly courting and embracing another vicious military power totally aligned with the US – Israel. Hopefully, our leadership will realise its folly before it is too late.

The union question

This has been the continuing subject of discussions and frustrations in the media. The tail continues to wag the dog. The mpasuko in the union cannot be resolved without resolving the mpasuko in Zanzibar. And for resolving the mapasuko, the CCM has to rise above political opportunism. The problem is that the CCM leadership fails to discipline the Zanzibar CCM because mainland CCM factions opportunistically seek out the most reactionary elements in Zanzibar, lest the ‘opposition' get into power. This is a groundless fear. There is no force in Zanzibar which would want to break the union but if the situation continues as it is, where Zanzibar fails to build a national consensus, then indeed the union could breakup. The JK government has failed to move on this score. One needs to be firm; flabbiness of position wouldn't do. Sharing of power in Zanzibar is not going to rock the Tanzanian boat at all, nor, in fact CCM's hegemony. Those who are opposed to national unity on the Islands are purely doing so out of personal interest and personal interests cannot be allowed to wreck a country.

Summing up

In sum, then, the immediate task facing the fourth phase government is to take a serious stock, not only of its one year in power, but also the direction in which the country has been moving for the last twenty years. For any government to lose its massive support within a year is very serious indeed and it requires serious attention, not escapism and scapegoating.


• This article first appeared in The Citizen, a Tanzanian daily, on 21st December, 2006. Issa Shivji is a retired law professor.
 
Mimi ningetumia muda mwingi kuisuka upya timu ya uongozi toka juu kabisa mpaka chini ili baada ya hizo siku 100, kazi ya kutafuta ushindi ianze kutekelezwa.

Bila uongozi wa kueleweka hakuna lolote litakaloweza kufanikiwa. Ntaanzima ujasiri wa mtu kama Mzee Ferguson wa Manchester.Sitajari umaarufu wa mtu bali nidhamu ya kutekeleza wajibu wake
 
Uwajibikaji
Nitahahakikisha Kila Mtu anawajibika kwa Nafasi yake, sitacheka na Waziri Mzembe, Nitawawajibisha Walio chini yangu ili nao wawajibishe walio chini yao!
 
FMEs!

Umeuliza swali la msingi sana... kwani marais wengi Afrika wanapoingia ikulu kwa mara ya kwanza ni kutotaka kuangalia waliowatangulia walikosea wapi na wao wafanye nini ili wasiingie kwenye huo mkumbo.

Mimi leo hii kama ningichaguliwa kuwa rais kitu cha kwanza kabisa ningeweka siasa pembeni niitishe kongamano lililosheheni wataalamu (na vilevile kwa kutumia media) kutoka nyanja mbalimbali, na wananchi wa kawaida lijadili... Nini matatizo yetu? Kwa nini hatuendelei? Ni mfumo wetu wa utawala?

From there then ... lile kongamano litakuwa na kazi ya kusuka upya (kwa kutumia makosa ya nyuma) mfumo mzima wa utawala.. unaoendana na jamii yetu. Kwa kifupi nitafanya Major System overhaul ambayo itakuja na katiba mpya, system mpya ya utawala kuanzia ngazi ya juu mpaka ya chini isiyo na lopeholes za corruption, un-accountability na vitu vyote vya kijinga vilivyotufikisha hapakijinga. System itakayofanya watu wajitume kufanya kazi na kuuonea uvivu aibu. From there then nitaanza kazi rasmi...
 
Katika siku 100 za kwanza mnatakiwa kufanya mazuri yaliyotajwa humu:

One year on in Tanzania: A false start

Issa G Shivji

2007-01-04, Issue 284

Shivji aliwahi kupelekwa Rukwa akafanye kwa vitendo na mambo yalimshinda huko.
 
1. Kurudisha heshima ya serikali na ya Tanzania. Lazima iwe na msemaji mmoja, na ni lazima kila linalosemwa litekelezwe kwa makini, sio waziri anasema hili, naibu lile, rais lile, msemaji wa ikulu lile, na anayesema asiwe mtu wa blah blah na kufinika kombe. Kuteua watu qualified na wenye uwezo, si vyeti tu (halisi na bandia) ila utendaji. (Hili hata ndani ya siku 30 linaweza kufanyika)

2. Kupunguza ukubwa wa serikali, bunge na kuondoa matumizi yasio ya lazima serikalini na kukusanya kodi kwa makini na kudhibiti inflation, na kuwa na mipango madhubuti na kuitekeleza kwa makini inayohusu kuboresha maisha ya watu, na kuifanya Tanzania iwe better kwa pande zote, sio freedom of media peke yake (ndani ya siku 30 tu, na ni kuvuta mafaili tu na kusimamia utekelezaji wake)

3. Kuweka utaratibu na sheria itakayowadhibiti rais, mawaziri na wabunge na watu mbalimbali kwenye public office kusafiri ovyo, na kuweka utaratibu wa kufuatilia utekelezaji wa kauli za serikali na kuchukua hatua kama inadanganya.

4. kuridisha uhai wa systems zote, labda hii inaweza kuchukua siku hata zaidi ya 100, lakini kama Rais akiwa makini inaweza kuwa less than that. Kila iadara ifanye kazi yake, itekeleze majukumu yake ipasavyo, sio porojo tu. hata mafisadi watakamatwa tu.

YANAWZEKANA HAYA. Wala hayahitaji Phd au sayansi ya roketi
 
Shivji aliwahi kupelekwa Rukwa akafanye kwa vitendo na mambo yalimshinda huko.

That doesn't mean a thing. Ndio kitu tunachosema hapa, mtu ateuliwe kushika wadhfa fulani kutokana na uwezo wake, kama Shivji ana uwezo wakutoa ushauri na kukosoa, basi ndio uwezo wake, haina maana kushindwa kwake kufanya kazi Rukwa ndio kuwa maoni/ ushauri wake ni batili.

Na tujiulize je, kitu gani kilimshinda? Kwa sababu gani?
 
1. Ningewapa watanzania katiba mpya ambayo ingekua ni msingi wa uongozi wa nchi kwa muda mrefu
2.Kamati ya kuchambua na kutunga sera za uchumi wa taifa letu kwa kutumia wataaalam kutoka idara mbali mbali na hasa wanazuoni itaundwa ili kuweka malengo ya muda mrefu na mfupi kwa taifa letu.

3. Ningehakikisha tunaufumua mfumo uliopo na sera zetu za mambo ya nje na kuunda sera nzuri zinazoendana na diplomasia ya Uchumi,hapa ntateua kamati ya wanazuoni,retired and serving army Generals,diplomats and economic analysts watakaounda team work kwa ajili ya wizara hii kwa kuwa tunahitaji technolojia kutoka nje,pia ushirikiano wa kiuchumi na mataifa mbali mbali.

Pia,zile neighbouring countries ambazo ni competitors wetu ningehakikisha wanadiplomasia ambao wangefanya kazi huko lazima nitaingiza mashushu kisiri siri watakaoleta taarifa ambazo tutazifanyia kazi ku-counter business and political propaganda zao na kutunga mbinu nzuri za kuwashinda ktk biashara ,uchumi na utalii katika nyanja za kimataifa.Hii ni kwa nchi kama kenya..pia Diplomasia kali na yene uzoefu juu yake

4.Nitaruhusu baraza la taifa la vijana ambalo litakua independent but litakalokua linafuata kanuni zilizowekwa kimaadili ili lifanye kazi bila kuinufaisha serikali yangu ,lengo likiwa ni ku-groom vijana kwa ajili ya uongozi wa baadae

5.mikataba yote ambayo ina harufu ya rushwa itavunjwa kulingana na muongozo wa sheria za kimataifa.Sheria za kimtaifa zimeruhusu nchi kuvunja mikataba kama ilisainiwa ktk mazingira ya rushwa.

Pia kuna kipengele ambacho kinatoa mwanya kuvunja mikataba kwa kutumia hoja ya kwamba circumstances doent allow.So,mikataba yote ambayo ni liability kwetu tutaivunja bila kuathiri uhusiano wa kidiplomasia.

6.Muundo wa jeshi letu utazingatiwa.

7.Media ni mhimili wa nne wa Dola,nitatoa fursa kwa wanahabari kuleta mapendekezo yao yatakayotiliwa maanani katika kuunda mswada utakaowaongoza lengo likiwa ni kuongeza uhuru wa vyombo vya habari.Media itanisaidia katika kukosoa serikali yangu na kuielimisha jamii.pia watanisaidia kumulika pale ambapo nimeshindwa kuona ikiwa ni pamoja na ku-point out wale viongozi wazembe nk.

Hizi siku 100 nitahakikisha ninafanya kazi hizi hapa juu kwa umakini na haraka,pia kuhakikisha nidhamu inarejea serikalini ikiwa ni pamoja na kuwafuta kzi wale wooote watakaofanya uzembe.
 
- Wakuu wote heshima mbele sana, samahani sana ushauri ni mzito sana lakini so far sioni ushahuri wa utafanya nini na marafiki zako waliokusaidia kushika power kama alionao Rais wetu wa sasa, unafanya nini nao katika siku 100 za kwanza?

- Halafu ishu nyingine ni exactly Rais wa sasa alirithi nini kutoka kwa serikali iliyopita? Halafu msisahau kwamba wewe ni Mwenyekiti wa CCM pia!

Respect.


FMEs!
 
- Wakuu heshima mbele sana, sometimes ni vyema tuka-pose mashambulizi na kutoa soulution. Najua JF ni vichwa sana na sio mchezo inapokuja kwenye siasa na uongozi wetu wa taifa, sasa hebu tuone iwapo tutapewa Urais wa Tanzania leo ni nini tutafanya tofauti na sasa, na ni nini kinatakiwa kufanywa for just the first 100 days in the office angalau kuanza kulipeleka hili taifa letu kunapotakiwa?

- Halafu nini so far makosa ya Rais wa sasa ukianzia na alipoichukua hii nchi? Sometimes ni vyema tukawa a part of the solution!

Respect.

FMEs!

Mkuu FMES Hishma mbele...Hoja yako ni ya msingi,ni jambo la maana tukifanya hivyo....Kwa kuanzia nimeseme kuwa tumekuwa tukilumbana sana kuhusu waraka wa wapiganaji,ukweli utajulikana very soon,kwasababu kama ni kweli basi mabadiliko tutayaona na uongo ni the opposite.

Nimegusia kuhusu waraka wa wapiganaji kwasababu nilishaupitia na niliposoma hoja yako nimeona kuwa inaendana na quotation hiyo hapo chini....Unachozungumzia wewe ni sawa kabisa na wanalolisema wapiganaji hao.

Nimeshangazwa kuwa hakukuwepo na utamaduni wa kuzipitia agenda za mgombea urais kwa mwavuli wa utekelezaji wa ilani za chama,mwavuli unaotumika kufunika ufisadi kwasababu agenda zinakuja kujulikana kwenye utendaji mara baada ya Rais kuapishwa,agenda zinakuja kujulikana kwamba ni ufisadi,agenda za kulindana na kulihujumu Taifa still kwa mwavuli wa chama,sera na ilani zake,yote hayo kama debe la kisiasa kwa wananchi,yanatumika kama mwavuli wa kuficha agenda za kweli ambazo ni ufisadi unaoimpact maisha ya wananchi wengi masikini na certainly impact kwa kizazi kijacho kwasababu rasilimali nyingi zimeuzwa kwa wageni.

Hivyo basi itakuwa ni jambo la msingi kama wapiganaji watafanikiwa, na kama ni wakweli,basi wenye kutaka nafasi za uongozi hususan urais,agenda zao kama zitafikishwa kwenye vikao hivyo vya ccm ambayo haina mafisadi (assuming wapiganaji are credible and that their ideas and mission will prevail) then ni wazi zitaletwa hapa ili tuzi analyze....

Nadhani wapiganaji wamesema hayo kwasababu utaratibu huo haukuwepo hapo awali, labda utaratibu huo uanze mwaka huu na JK ajiandae na agenda zake (assuming kwamba na yeye si miongoni mwa listi ya wasiotakiwa na wapiganaji)

Lazima tuwe na pahala pa msingi pa kuanzia,na kwa ambayo yameshafanyika ndani ya awamu ya kwanza ya JK,mengi ni ya kuyafutilia mbali na si ya kuyarekebisha,uyarekebishe utaanzia wapi? Huwezi kurekebisha namna ambayo simba ama chui atakutafuna,huwezi eti kunegotiate naye na kumwambia nitakuanchia tuu mkono mmoja uule, haiwezekani,atakurarua moja kwa moja... Mafisadi wako kwenye positions ambazo wananufaika kwa kutumia rasilimali za watanzania kinyonyaji, kuwaambia eti "Tunyonye kidogo" itakuwa ni ndoto,wataendelea kutunyonyelea mbali,na kwahivyo solution ni "Kukata mizizi yote ya fitna" Halafu tuanze "Upya"

Down here is the quotation....

Hivyo basi, tunapendekeza mfumo wa wagombea wa nafasi ya urais kwa tiketi ya chama chetu kushindanishwa kwa ajenda zao mbele ya wanachama katika kura mbalimbali za maoni mikoani na hatimaye wale ambao watakuwa wanaonekana kukubalika katika mfumo ambao unaweza kubuniwa ndio watapigiwa kura na mkutano
mkuu kugombea nafasi hiyo.

Mtindo wa kuachia Halmashauri Kuu na Kamati Kuu kuamua jina la nani liletwe kwenye mkutano mkuu umepitwa na wakati. Tutengeneze mfumo ambao utawachuja wagombea pamoja na wagombea wenza katika ngazi za chini na hatimaye Mkutano
Mkuu ndio utachagua timu ya wagombea wake kwa kuangalia ajenda zao kwa taifa.

Timu ya wagombea ambao ajenda yao inakubalika na kuchaguliwa kuwa wagombea kwa niaba ya Chama chetu basi ajenda yao ndiyo inaunda Ilani ya Uchaguzi. Mtindo kama huu ndio unatumika nchini Marekani na kwenye nchi nyingine nyingi zenye kufuata demokrasia ya kweli.

Kwa kufanya hivi tunaamini tutafungua nafasi kubwa ya mawazo, mipango, na hoja nzuri zaidi na kutoa nafasi hata kwa wana CCM ambao hawana majina makubwa lakini wenye mawazo bora zaidi na yanayofaa katika kuongoza mabadiliko. Tunaamini kuwa bila ya kubadilisha namna ambayo mgombea wa Urais kwa tiketi ya chama chetu anapatikana hatuwezi kwa kiasi kikubwa kuondoa mwonekano wa kubebwa na kupendelewa unaoweza kutokea au mbinu chafu kutumika

Very strong points kutoka kwa wapiganaji hao kwasababu hii ni kama lean process,preventive measures zinakuwa zimeshatake place from the begining kwa kuweza kujadili kuwa ni nini mgombea urais anataka kulifanyia Taifa na si kauli mbiu za kisiasa kama vile maisha bora kwa kila mtanzania bila agenda za how will that be accomplished, its time we abandone siasa za "Kiswahili swahili"

Tukianzia hapo,then tutakuwa na uwezo wa kuwa part of the solution,lakini kwasasa tusipokuwa makini tunaweza kujiunga na kuwa part of the problem even though our intentions are good...Kwa mfano unaweza kumkuta mtu amepatwa na ajali na katika process yako ya usamaria wema na good intention ukajikuta umemmalizia.

Kwa kifupi we should have a new begining.
 
- Wakuu wote heshima mbele sana, samahani sana ushauri ni mzito sana lakini so far sioni ushahuri wa utafanya nini na marafiki zako waliokusaidia kushika power kama alionao Rais wetu wa sasa, unafanya nini nao katika siku 100 za kwanza?

- Halafu ishu nyingine ni exactly Rais wa sasa alirithi nini kutoka kwa serikali iliyopita? Halafu msisahau kwamba wewe ni Mwenyekiti wa CCM pia!

Respect.

FMEs!

Salute mkuu,

Well,suala la kuwafnyia nini marafiki waliokusaidia kuingia ikulu.Ili uwe katika nafasi nzuri kama kweli wewe unataka kuwa kiongozi mzuri,reformist mzuri basi inabidi umakini uwepo tangu mwanzo wa kampeni.I mean,jinsi unavyochagua marfiki na team campaign yako.Ni lazima utilie maanani kwamba kama hao watu wanakusaidia ili ukawape favour fulani wasiyostahili au itakayoathiri dhana ya equal distribution of natonal resources au dhana ya fursa sawa kwa wote kwa kiasi kikubwa basi inabidi uamue kuweka hilo suala clear au uamue kuwaacha then after election uwatangazie kwamba mtu atapata fursa ya uongozi kama ana uwezo au kama ni katika zabuni za kibiashara basi nitawaambia kwamba wapite ktk mchakato kama wengine(though nitaonekana msaliti but ni afadhali iwe hivyo coz hiyo ndiyo gharama ya Radical reform)

-Msaada wa pekee nitakaotoa ni kuwapa kipaumbele katika teuzi zangu kama wana vigezo vya kitaaluma na uzoefu.Suala la taaluma na uwezo wao tu ndiyo utakaowapa unafuu katika teuzi zangu.Utendaji wangu wa kazi ndiyo utakaonipa kura katika ngwe inayofuata huku kazi ngumu ya kampeni baadae ikipungu na kunifanya baada ya first term nikiwa ktk nafasi nzuri y kuchaguliwa tena.Hata kama chama changu kitaweka zengwe ili nitoswe najua nitakua na nguvu nikiamua kugombea kupitia chama kingine kwani najua wananchi watakua na mimi tu

-Pia ninaweza kabisa baada ya kubadilisha katiba kama nilivyosema hapo juu nitaweka kipengele kinachokataza mtu atakaeshika madaraka ya Rais ni marufuku kuwa kiongozi wa chama cha siasa,au madaraka yake yanakoma siku atakapoapishwa kuwa rais wa nchi

 
Tatizo si paper works...paper works nyingi Tanzania zimekaa uzuri na zikishindanishwa na za nchi zingine zinaweza shinda. Wale wanaohudhuria makongamano ya kimataifa wanajua haya.

Tatizo linakuja ktk UTEKELEZAJI....!!!

Rais Kama Rais..huwezi fanyakazi alone. Lazima watu wajitume ktk kufanyakazi. Let say JK mchovu...Je wengine ambao wamepewa Madaraka mbona hawafanyikazi...!!! Utabadilisha baraza mara ngapi?

Kuhusu Marafiki..na hasa matajiri ambao wamejiingiza ktk siasa kwa manufaa yao, inabidi kuwa makini sana ku-deal nao. Tatizo la JK moja, anataka kuonekana mwema na kila mtu. wakati Magoigoi wengine ni wakutupwa Jela au wawe nje ya Money Circulation ndio watapata discipline.
 
Kuwatosa kwenye chama wale wanasiasa wote wanaotuhumiwa kufanya ufisadi hasa kwenye uteuzi wa ubunge kwakutumia rungu la Mwenyekiti

Kuondoa watendaji wa serikali waliotumia vibaya ofisi zao hosea, ndullu, etc
 
Tatizo si paper works...paper works nyingi Tanzania zimekaa uzuri na zikishindanishwa na za nchi zingine zinaweza shinda. Wale wanaohudhuria makongamano ya kimataifa wanajua haya.

Tatizo linakuja ktk UTEKELEZAJI....!!!

Rais Kama Rais..huwezi fanyakazi alone. Lazima watu wajitume ktk kufanyakazi. Let say JK mchovu...Je wengine ambao wamepewa Madaraka mbona hawafanyikazi...!!! Utabadilisha baraza mara ngapi?

Kuhusu Marafiki..na hasa matajiri ambao wamejiingiza ktk siasa kwa manufaa yao, inabidi kuwa makini sana ku-deal nao. Tatizo la JK moja, anataka kuonekana mwema na kila mtu. wakati Magoigoi wengine ni wakutupwa Jela au wawe nje ya Money Circulation ndio watapata discipline.

Lazima kwanza tujue agenda zake zilikuwa zipi na utekelezaji wake ni upi?Hatuwezi eti kuzungumzia uchovu na wakati matokeo ni haya ya ufisadi.....Amechoshwa na kuwapa mafisadi nchi?

Haijalishi ni madaraka gani wamepewa hao wasaiadizi ya kufanya kazi,cha msingi ni agenda zinazofuatwa wakati wa kufanya kazi hizo...JK kama waliomtangulia walipitishwa kwa kuteuliwa na kamati kuu na si kwa kuweka bayana agenda zao,ndio maana mnadai anachoka kwa kazi ambazo wananchi hawaoni matokeo yake....Agenda mkuu,msisahau,na ndio maana tuko kwenye mjadala huu hapa.

Ni lazima tujue agenda zake kwanza kabla hatujawa part of the solution na ndio maana nikasema tunaweza kujikuta ni part of the problem kwasababu ni swa na kudandia treni usiyojua inaelekea wapi,yani ndiyo yale ya kujump into "Band wagons"
 
Salute mkubwa, jambo la muhimu kwanza ni kuondoa uswahiba ambao unasababisha tuogopane pale kiongozi anapochemka.

Pili ni kuwa na sera zinazotekelezeka siyo zile za kuwafanya watu washangilie at the end of the day hakuna lolote. mfano sera ya kilimo kwanza ambayo mamangu mhulima kule ng'wanuzi hajafaidika kwa lolote.

Kuchagua kiongozi anayefaa bila kuangalia hizi party affiliations ambazo zinatufanya tudumae eti kwa vile babu alipigana vita ya pili ya dunia akiwa na kadi ya TAA basi nami nimuenzi kwa kuwachagua viongozi wasio faa. Ila wakubwa hii forum inafaa sana naipa green light!
 
Back
Top Bottom