beijings hebu nipe mtazamo wako katika hili...

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
un BF wako, kutokana na majukumu inatokea mnakua na "long distant relationship"...mnapendana sana na ww binafsi hutaki kumpoteza...unapatwa na wazo la kutokumuamini labda kutokana na yeye kuwa kimya kidogo tu,..ila mkiwasiliana anasema "everything is fine and stuff, that he was jus tired" na unajaribu kum-trap kwa kutumia namba nyingine ya simu kwa kumtumia msg za kimapenzi, kidume kinarespond positively, anasema yuko "single" na anaomba umtumie na picha zako!!!!utachukua uamuzi gani?
hata kaka kama unamchango tupia....
 
Labda na yeye alikuwa anakujaribu, nini kinakufanya umjaribu?? haipendezi muamini until ukweli utakapojionyesha wenyewe.
 
Kwa nini hamuaminiani
Kama umeamua kumwamwini mwamini hadi utakapproove kivingine
 
Mie ukinijaribu kwa kuntumia rafikiako ajipendekeze kwangu eti kunipima msimamo na nigundue unanijaribu nafanya kweli,
 
M.Rocky ucjali nimesha edit maana ningekosa comment za watu muhimu humu ndani..so u wea ryt!!!

U shouldnnt worry about him
Kama anakupenda atakuheshimu na ataheshimu upendo wako
Na mpe benefit of doubt na mwache kama ni mwaminifu atatunza uaminifu wake kwako na ataheshimu uhusiano wako ila kama hana huo uaminifu jua kwamba hata ukiwa nae karibu kama anataka kucheat atacheat tuu
 
kaka unaona kabisa upande huu wa namba ya ukwel mapenzi yanashuka kwa kasi lakini anasema everthing is ryt!!kazi nyingi tu.. na upande wa trap number yanapanda,

Ni wewe kuwa makini tuu na kama mtego wako utanasa
na kama unajua hakuna mapenzi ya ukweli alikuwa anakutumia tuu u have the right to let him go
 
thanQ Mr. Rocky ila mm wakiumeni, naona unatupia sana!!!ha ha...uko fresh lakini
Ni wewe kuwa makini tuu na kama mtego wako utanasa
na kama unajua hakuna mapenzi ya ukweli alikuwa anakutumia tuu u have the right to let him go
 
Back
Top Bottom