BEI ZA vyumba maeneo sahihi UDOM

Puremind

Member
Aug 4, 2021
39
95
Habari wanajamvi, ninaomba wenyeji wa Udom mnihabarishe maeneo sahihi jirani na chuo ambapo nitaweza pata chumba kwa gharama Kati ya 30000/40000
NB
Zingatia gharama husika za huduma za kijamii pamoja na huduma mbalimbali muhimu kama maeneo ya michezo,studios nk
 
kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,196
2,000
Duh kwa bei hiyo itabidi uzunguke sio kwamba hakuna...ila wengi wamejitahidi kuboresha nyumba zao ili kuongeza kodi
 
Abou Saydou

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
2,915
2,000
Kwa nyumba ya vyumba viwili na sebule ambayo ni self inaweza ikawa kiasi gani ?
Dodoma ndio sehemu yenye vyumba bei juu mpka sehemu zisizo eleweka kuliko eneo lolote Tanzania hii, kaka yangu yupo makulu amepanga self 90k.

Kwa bei ya 40k unaweza kubahatisha single room nje ya mji ntyuka kule tena vya kubahatisha sana.
 
Babugaya

Member
May 22, 2020
71
150
Dodoma ndio sehemu yenye vyumba bei juu mpka sehemu zisizo eleweka kuliko eneo lolote Tanzania hii, kaka yangu yupo makulu amepanga self 90k.

Kwa bei ya 40k unaweza kubahatisha single room nje ya mji ntyuka kule tena vya kubahatisha sana.
Acha ushamba huijui Arusha wewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom