Bei za scania 93h,m,hp power 280, 250 ,113 hp wana jamii naomba ushauri tu kwa mara nyingine


J

jjokocha

Member
Joined
Oct 26, 2013
Messages
35
Likes
1
Points
15
Age
48
J

jjokocha

Member
Joined Oct 26, 2013
35 1 15
1)Wana jamii naomba ushauri wangu wa pili tuu kuhusu bei ya Scania used ni muundo upi na bei ni Tsh ngapi?
kwa mfano.

SCANIA 93H.M HORSE POWER 280,250 LHD USED
SCANIA 112H .M, HP 320. 113H.M ,HP360-380 BEI NI NGAPI TANZANIA?
SCANIA 124L HP 400 NA KUNDELEA ,

Tafadhari naomba ushauri wa bei ya soko Tanzania kama zinauzika muundo na body ni ipi zaidi ya ipi ili nipate kuelewa vizuri.Kwani ninauwezo wa kuzipata naomba ushauri wa ulio sahihi .

2) Je kuna aina nyingine ya malori ambayo yanauzika kwa mfano Benz au Daf je ni aina ipi tafadhari sana naomba ushari wa kutosha ili nianze biashara
 

Forum statistics

Threads 1,250,761
Members 481,468
Posts 29,744,001