Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

Ni pm kama uko seriouz,mi ninazo imara na zenye ufanisi wakutosha,lakini pia nitakupa muongozo wa biashara hizi za mashine(uzalishaji na usambazaji wa unga) kwani pia nimezifanya kwa kipindi kirefu,naweza kukupa changamoto na pia faida kwa kina.Karibu!
Mkuu kwa uzoefu wako ni mashine za brand ipi, yenye capacity kiasi gani, namba/rollers ngapi, size ya bati zake unaweza kuipendekeza kutokana na ufanisi wake? Pia nzuri zaidi ni zile locally made or imported? Pia kwa kuzingatia ulaji wake wa umeme na durability, price range, wauzaji kwa Dar etc. Nitashukuru kupata msaada wako.
 
Mkuu unga wa mahindi unasagwa na kukobolewa vipi???

Sijui kama duniani kuna hiyo mashine boss
 
Back
Top Bottom