Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Huyo ndo msukuma jiwe,kibaya Zaid yeye anaona anachapa kazi kweli
Vile vile bei ya mazao ya chakula nayo itapanda kutokana na gharama za usafirishajiIkiendelea hivi nauli pia itapanda kwenye usafiri wa umma
Aisee watu wamechokaaaa. Ukitaka kujua hali ni mbaya angalia watu wanaoomba msaada hapa JFMungu amchukue tu amkabidhi kwa shetani ampangie majukumu mengine atakayomudu kuzimu
Mambo vp dogo??Mkuu Nakuona
AmenMungu amchukue tu amkabidhi kwa shetani ampangie majukumu mengine atakayomudu kuzimu
Nakununua pikipiki
Ni mwendo wa kupaki ndinga tu
Kila tamu ina chungu yake.upaHata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi
Tupo kwenye riati traki tunakusanya pesa za kununu dirimu la aina nyingine....msiturudishe nyuma kwenye juhudi pambafu!Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509
Mpaka ifikie usawa wa Mlima Kilimanjaro.Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509
Wameongeza bei ili kupata hela za kununua koroshoMpaka mtakapoondoa "JINAMIZI" nchini.
Yaan anaona ye n noumaHuyo ndo msukuma jiwe,kibaya Zaid yeye anaona anachapa kazi kweli
Anza na ISIS,kisha jingalao na waku.da wengineo.Wewe tutawapanda hata fisi wa Lumumba ili tufike kwetu
Na hapo kuna mtumishi wa umma mwenye gari ambae anaishi kwa mshahara wa mwaka 2015 na bei ya mafuta ya mwaka huo na sasa bei ya 2018 bado anamshahara ule ule wa 2015.
Pato halisadifu gharama za maisha kabisaaaa