Bei za mafuta kwa Desemba 2018 zapanda. Bei hizo kuanza kutumika Desemba 05

Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi
Kila tamu ina chungu yake.upa
Bei ya mafuta ilivyokuwa chini tulifurahi sana na sasa tunalia kutokana na machungu ya bei ya sasa kupaa.
 
Kupanda au kushuka kwa bei ya mafuta kunasababishwa na sababu kuu mbili;bei ya kimataifa ya kununua mafuta haya na uimara wa sarafu ya nchi against USD;KIPINDI HIKI BEI IMESHUKA (CHINI YA 60USD PER BARREL),kwa hiyo ilibidi bei ishuke ,je sarafu yetu against usd ina perform vipi?nategemea wote hapa tumepata jawabu la why bei yetu ya mafuta inazidi kupaa,tuendelee kusubiri
 
TANZANIA WASTAARABU SANA .......

France protests: Fuel tax rises in 2019 budget dropped

1544081757964.png
 
Wenýe mamlaka weńyewe wanajiwekea poshô ya mafuta kwenye mishahara yao na pia hapo hapo wanatumia gari za ofisi.
Na hapo kuna mtumishi wa umma mwenye gari ambae anaishi kwa mshahara wa mwaka 2015 na bei ya mafuta ya mwaka huo na sasa bei ya 2018 bado anamshahara ule ule wa 2015.
Pato halisadifu gharama za maisha kabisaaaa
 
Back
Top Bottom