Ndiki de boss
Member
- Jan 19, 2017
- 93
- 62
Ni mwendo wa kupaki ndinga tu
Wewe tutawapanda hata fisi wa Lumumba ili tufike kwetuWachaga ambao hamna magari mfanye haraka muende kwenu kabla nauli haijawa sawa na ya ruti ya mwanza.
Unasema?Hii trela tu
Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509
Wewe tutawapanda hata fisi wa Lumumba ili tufike kwetu
Bahati mbaya sisi wapiga vigelegele na makofi hatujui hayo hivi hapo tunaona manamba tu hatuna tunachokijua. Tukienda gengeni kununua matembele ya mia mbili, nyanya za mia kitunguu cha mia tumemaliza maisha yetu yanarotate hapoHii ni hatari jamani, kuna watu watasema we still in the right truck.!
Ikiendelea hivi nauli pia itapanda kwenye usafiri wa ummaKijana acha kulia lia Pambana ya Pesa yote.
Ukishindwa paki gari pembeni uje kwenye usafiri Wa Umma.
Britanicca unashangilia kwa furaha au unasikitika kwa kupiga nduru?Ayeyeyeye
Hii ni hatari jamani, kuna watu watasema we still in the right truck.!
Hapa sijui kama Polepole Jembe analakusema.....Hata sijui itafika wapi maana iliaza na urefu wa futi 1500 ila kila siku inaongezaka. Najiuliza itafik wapi?View attachment 957509