Bei za mafuta kwa Desemba 2018 zapanda. Bei hizo kuanza kutumika Desemba 05

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Bei za rejareja za mafuta yaliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Dar inaonesha Petroli imepanda kwa Tsh. 40/lita, Dizeli imepanda kwa Tsh. 50/lita na Mafuta ya taa imepanda kwa Tsh. 88/lita

Pia, kwa bei za jumla inaonesha imepanda ambapo Petroli imeongezeka kwa Tsh. 39.68/lita, Dizeli imeongezeka kwa Tsh. 50.22/lita na Mafuta ya Taa imepanda kwa Tsh. 87.48/lita

Aidha, hakuna mzigo mpya wa mafuta ulioingia katika bandari ya Tanga hivyo bei za mafuta kwa mikoa ya Kaskazini kwa Desemba itaendelea kubaki ile ya Novemba

Hakuna mzigo mpya ulioingia bandari ya Mtwara hivyo kutokana na kuwepo kwa mafuta ya Dizeli tu kwenye hifadhi, bei ya Dizeli kwa mikoa ya Kusini itakuwa kama ya Novemba

Kutokana na kutokuwepo kwa mafuta ya Taa na Petroli Mtwara bei ya mafuta hayo itategemea na uwagizwaji wake kutoka Dar

Ikumbukwe kuwa unaweza kuangalia bei za mafuta nchini kwa kutumia simu yako kwa kupiga namba *152*00# ambayo ni bure
 
Attachments

  • Cap Prices wef 05 December 2018-ENGLISH.pdf
    392.5 KB · Views: 461

Huyu jamaa mpaka aondoke mafuta yatakua 5000 lita kama alivyoitoa sukari 1800 mpaka 3000
 
Nilosoma kuwa wajapan kati ya serikali na watu binafsi wana mafuta ya kutosha siku 160.Hii maana yake bei ya mafuta haiwezi kuathiriwa kwa siku 160 tangu ibadilike. Na huu ni mpango wa serikali.
Tanzania tuna mafuta ya kutosha siku ngapi bila kuagiza?
 
Bei za rejareja za mafuta yaliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Dar inaonesha Petroli imepanda kwa Tsh. 40/lita, Dizeli imepanda kwa Tsh. 50/lita na Mafuta ya taa imepanda kwa Tsh. 88/lita

Pia, kwa bei za jumla inaonesha imepanda ambapo Petroli imeongezeka kwa Tsh. 39.68/lita, Dizeli imeongezeka kwa Tsh. 50.22/lita na Mafuta ya Taa imepanda kwa Tsh. 87.48/lita

Aidha, hakuna mzigo mpya wa mafuta ulioingia katika bandari ya Tanga hivyo bei za mafuta kwa mikoa ya Kaskazini kwa Desemba itaendelea kubaki ile ya Novemba

Hakuna mzigo mpya ulioingia bandari ya Mtwara hivyo kutokana na kuwepo kwa mafuta ya Dizeli tu kwenye hifadhi, bei ya Dizeli kwa mikoa ya Kusini itakuwa kama ya Novemba

Kutokana na kutokuwepo kwa mafuta ya Taa na Petroli Mtwara bei ya mafuta hayo itategemea na uwagizwaji wake kutoka Dar

Ikumbukwe kuwa unaweza kuangalia bei za mafuta nchini kwa kutumia simu yako kwa kupiga namba *152*00# ambayo ni bure
Huku nilipo situmii chochote kinachohusiana na petrol /diesel au mafuta ya taa,ni mwendo wa baiskeli tu.
 
kwa Tsh. 87.48/lita

Aidha, hakuna mzigo mpya wa mafuta ulioingia katika bandari ya Tanga hivyo bei za mafuta kwa mikoa ya Kaskazini kwa Desemba itaendelea kubaki ile ya Novemba
kwa nilivyoelewa kama mzigo mpya hakuna hata Kama bei imepanda wenye mzigo wa zamani watauza bei ile ile sasa je Kama bei imeshuka inakuweje?
 
Hiv mbona hii maneno tunaiangalia tuu...yaan tayar 2400...na watu wako kimya tu fresh yaan.

France wanaandamana siku ya 5 leo.kenya waliandama.

Au wabongo tuko vzur nn kiuchum,ni mim tu ndo njaa kali
loading..........
 
Kagera tunanunua around Tsh 2600 mpaka 2800 karibu mwezi wa NNE kwa Petrol

Bei kikomo ya mafuta Karagwe (Kayanga) kwa sasa ni:-
Petroli Tsh 2,628
Dizeli Tsh 2,617
Mafuta ya Taa Tsh 2,512

Watu wa Dar acheni kulalalalalalama, kazi na bata mpaka 2020, nchi yapigwa pasii
 
Wenzenu huku mwezi ulio isha tulikuwa tunanunua diesel kwa tsh.2472/= na petrol kwa tsh. 2481/=. Sijui leo itakuwa bei gani?

Back
Top Bottom