beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Bei za rejareja za mafuta yaliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Dar inaonesha Petroli imepanda kwa Tsh. 40/lita, Dizeli imepanda kwa Tsh. 50/lita na Mafuta ya taa imepanda kwa Tsh. 88/lita
Pia, kwa bei za jumla inaonesha imepanda ambapo Petroli imeongezeka kwa Tsh. 39.68/lita, Dizeli imeongezeka kwa Tsh. 50.22/lita na Mafuta ya Taa imepanda kwa Tsh. 87.48/lita
Aidha, hakuna mzigo mpya wa mafuta ulioingia katika bandari ya Tanga hivyo bei za mafuta kwa mikoa ya Kaskazini kwa Desemba itaendelea kubaki ile ya Novemba
Hakuna mzigo mpya ulioingia bandari ya Mtwara hivyo kutokana na kuwepo kwa mafuta ya Dizeli tu kwenye hifadhi, bei ya Dizeli kwa mikoa ya Kusini itakuwa kama ya Novemba
Kutokana na kutokuwepo kwa mafuta ya Taa na Petroli Mtwara bei ya mafuta hayo itategemea na uwagizwaji wake kutoka Dar
Ikumbukwe kuwa unaweza kuangalia bei za mafuta nchini kwa kutumia simu yako kwa kupiga namba *152*00# ambayo ni bure